Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
so far so good.., kila mmoja ajawajibika uwanjani.., hope wataendelea hiv hiv..
Mkuu Jesse ni mzuri sana ni young CR7 ila huwa anakua overlooked mara nyingi. James ndio huwa Anazingua sometimes ila Leo yupo vizuriHuyu jesse anaenda wap sasa...hivi lucas hayupo
Hahahhahahaha....,me namuona ni mbahatishaji huyuMkuu Jesse ni mzuri sana ni young CR7 ila huwa anakua overlooked mara nyingi. James ndio huwa Anazingua sometimes ila Leo yupo vizuri
Anajua hapewi nafasi tu kuna games huwa nataka aanze badala ya James, halafu ni very loyal hapewi nafasi ila akipewa anajituma na halalamikiHahahhahahaha....,me namuona ni mbahatishaji huyu