Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tuna aleji na timu zinazotoka jimbo la catalunya...hawa tunawapa five oclock...
 
Cr7 Every once in a while he reminds us that he still got it
 
Ambacho nimekiona kizuri leo...huku mbele ronaldo na benzema wamechangamka sana...tunawakabia hawa jamaa huku huku kwao...foward line zetu zinawakimbiza kwa kuwapa pressure wakiwa na mpira...hii inasaidia wao kutoweza kutulia kupanga mashambuliz yao....eneo la kiungo nimefurah wana ushirikiano sana leo....timu imebalance hadi sasa hv ninaona
 
Back
Top Bottom