Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #14,001
Hazard sio mchezaji wa kununuliwa kwa hiyo bei, kule Chelsea kufunga hafungi
Kwa maoni yangu, Hazard sio solution kwa tatizo la Real Madrid walilonalo sasa. Kama hawawezi kumpumzisha Crisitano japo 45 minutes ili young talents like Denis Cheryshev wapate play time, hata akija Pogba hawezi kubadilisha mchezo.