Casemiro ni mchezaji muhimu sana kuleta balance katikati hasa kuilinda defence anastahili kupata more playing time Mondric/Kroos uchezaji wao unafananaKweli unaziona game za Real vizuri. Japo Modric ni mashine lakini nimeona baadhi ya magoli yanaanzia kwake. I don't know, may be it's a time for Casemiro to play with one of them
Kweli unaziona game za Real vizuri. Japo Modric ni mashine lakini nimeona baadhi ya magoli yanaanzia kwake. I don't know, may be it's a time for Casemiro to play with one of them
mnafikiri Ronaldo wetu atachukua Award leo?
enyi wachambuzi wa kupredict toeni mchango wenu, mana nns was was sana hapa
Cristiano himself stated a month ago in an interview that: "Messi will win it this time."
Marco Asensio now has 6 La Liga assists, only Cristiano, Bale, Neymar and Roberto Soldado have more (7).
He provided another assist yesterday in their game against EIBAR.
Truth be told, Cristiano analinganishwa na Messi cuz yuko Madrid. Ila anatakiwa kuwa ligi moja na kina Sanchez huko, au hata Giroud's.
Truth be told, Cristiano analinganishwa na Messi cuz yuko Madrid. Ila anatakiwa kuwa ligi moja na kina Sanchez huko, au hata Giroud's.
I alwys admire carvajal
Sana jamaa ana mapafu ya mbwa,nguvu anaongeza mashambuliza hakika tuna hazinaCarvajal jembe hilo man, nakumbuka last season bila huyu ingekuwa aibu