Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Ha ha ha ha hivi mkuu tuweke ushabik pembeni hebu mchek cr alavyojiweka Huoni huo ni upunga aisee hata kama angekuwa mwanao ucngeruhusu kitu kama hiko
Tatizo lako unapenda kubishana hapa tunaiongelea Realmadrid 'The best timu in 20th century'