Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kaka habari kama hizi unatuletea kwenye thread yetu? We're so much concerned with Copa Del Rey mkuu. Huu ni udaku huu
Hoja nzito kwa majibu mepesi mepesi, mchezaji kama huyo ambae ndo nguzo ya timu kujihusisha na ushoga unasema huo ni udaku? We kweli umevurugwa na mwaka huu mnatoka kapa, labda mbadili gia angani. Karibu Barca Mkuu!
 
Nafikiri kwa sasa Real Madrid inahitaji Raisi mwingine,Perez angesepa
 
Seems like we're outta Copa. Well, it is what it is. Lesson learnt. Now, we gotta focus to turn this circus of a season around. We are Los Blancos.
 
MARCA | What has just happened in Cadiz has summed up Real Madrid worst days in history.

First letting go of a leader of the team(Iker) and then loosing out to David De Gea and then Benzema case which might end Benz career and Cristiano linked to other clubs.

Tusubiri, tomorrow the official statement regarding copa will be released.
We are out mzee. Ushahidi wote unaonyesha uzembe upo kwetu. Unless wenye mamlaka wa-twist mambo kuipa michuano hadhi. Bila Madrid watapoteza mkwanja mrefu sana na msisimko. But we fucked up, ndio maana sijaona official statement kutoka club.
 
Kweli hii imekaa vibaya mkuu. But there is a rule saying that all bans and red cards are deleted after 3rd round. Sisi tumecheza mechi ya raundi ya 4. Japo kuna sehemu nimeona wanasema hii si kwa timu za La Liga, I'm just waiting for the official to say something. Tunapitia kwenye kipindi kigumu sana.
 
Halafu sasa walimtoa ili iweje sasa, kupunguza adhabu ama? Anyway, we can still turn all this around and laugh last.
 
Hoja nzito kwa majibu mepesi mepesi, mchezaji kama huyo ambae ndo nguzo ya timu kujihusisha na ushoga unasema huo ni udaku? We kweli umevurugwa na mwaka huu mnatoka kapa, labda mbadili gia angani. Karibu Barca Mkuu!

Mwenye majibu mazuri ni Ronaldo mwenyewe na huyo Mmorocco sasa mambo ya social media ukija kuyauliza humu wakati hakuna hata ndugu yake ndo maana unapata majibu mepesi afterall hii ishu daily mail walishaiongelea but ilikuwa kwamba ronaldo anaponda sana raha hawakusema kuhusu ushoga
 
Chief, hao watu hujawazoea tu? Utamaliza energy yako kujaribu ku-reason nao. Wapuuzie tu.
 
[h=1]Training session (03/12/2015)
as attentions turned to Saturday's match against Getafe.​
[/h]

On this day in 2002 we won our third Intercontinental Cup thanks to a 2-0 victory over Club Olimpia from Paraguay

Florentino Perez anaitisha Press Conference saa moja na nusu usiku huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…