Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #12,181
Official nominations for the Ballon De La Liga.
Dah cadiz hatujawahi kuwafunga hao jamaa
Man, kwenye segunda liga mwaka 2012, Real Madrid Castilla washapiga 5 - 1 hawa.
Castilla hiyo umeongelea mkuu na sio team kubwa check vizuri record zako tena kuna uwanja waliokuwa wanautumia kitambo mpk wakaja kuubadili jina bado hali ilikuwa tete
Castilla hiyo umeongelea mkuu na sio team kubwa check vizuri record zako tena kuna uwanja waliokuwa wanautumia kitambo mpk wakaja kuubadili jina bado hali ilikuwa tete