Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hahaha. Haya bana. Mashabiki wote wangekuwa kama wewe, ingekuwa babkubwa sana.Hala Madrid halaaaa!!!!......kesho nikuleteee zawadi ya vikatuni? Duhhh!! Navyokupenda nimekusamehee ila ungekuwa wewe....lol......halafu usilie sana leo Kirikuuu hajafunga...hahahha
Kudhalilishwa ni jambo baya sana
If Rafa want to win El Clasico, James Rodriguez has to start. There's no way around it, he's crucial to the attack.
Vipi Mkuu, James hakuanza nini?
Mda mwingine kabla ya Game uwe unaongea vitu vya maana sio kukurupuka tuu na mahaba yako kwa Madrid. Kaa vizuri kisha tathmini timu yako na timu unayokutana nayo, sio kila kitu unakuja tu unapost post.You won the game and I said congratulation already. So stop asking stup!d questions
Mda mwingine kabla ya Game uwe unaongea vitu vya maana sio kukurupuka tuu na mahaba yako kwa Madrid. Kaa vizuri kisha tathmini timu yako na timu unayokutana nayo, sio kila kitu unakuja tu unapost post.
Eboooooo!!!!!
Ndo mimi Mkuu, ngoja nirudi ktk ile ile ID yangu.Hivi wewe ni Aleyn ?
from day one nilisema,Benitez haiwezi madrid,wanacheza kama robots-hii sio classico tena
Nilishasema ilikuwa kosa kumfukuza Anceloti halafu timu unampa Benitez
Piga simu kwa Benitez, ask why!
We are playing like amateurs today. Real Madrid look like an ordinary team. I don't know why!
Nothing to say.....ulimwengu mzima umeona mtu mzima akivuliwa nguo nakupigwa makofi kwake...inauma kisengerema aisee...hii timu inahitaji mabadililo makubwa maana ni hakika mfumo wa ben wakutegemea uimara wa safu ya ulinzi umefail