Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

NAVAS IS LOVE

12246670_1103410229683736_4381778348417702905_n.jpg
 
Predicted line-up Real Madrid vs Catalans [@DiarioBernabeu]

12239899_1103509449673814_2246122451635895711_n.jpg
 
Umeona predicted lineup ya DiarioBernabeu hapo juu? Je unafikiria vipi kuhusu hi list?
[/QUOT
So far defence n mid nimeipenda ila CR7 as a striker hapo kachemka huyo jamaa ameishakuwa kilaza siku hizi angemweka winga km siku zote af mbele Benzema akasimama si walisema he's fit to play...af pia naona km wangeenda na formation ya 4-2-3-1 Rodriguez akasimama nyuma ya Benzema kwa mtazamo wangu lakini
 
Calm down, hii siyo official ni prediction ya diarioBerbabeu, Benitez huwa hapendi kutaja lineup yake mpaka last minute kwahiyo tusubiri jioni.
Lakni ni kweli, kuna wataalamu wa soka waliongea kumsimamisha Cristiano kwenye box ndio chanzo cha game kufa pale mbele kwasababu anakosa enough space na mipira yote ikija inagongwa na mabeki kisha jamaa anapanic. Anatakiwa apewe nafasi ya kukimbia ndio labda tutaona mchezo tofauti. Lakini tusubiri Benitez sijui anafikiria vipi.
 
Last edited by a moderator:
600 media proffesionals from 220 accredited media outlets will be at Bernabeu to cover the Clasico

Satellite
 
Calm down, hii siyo official ni prediction ya diarioBerbabeu, Benitez huwa hapendi kutaja lineup yake mpaka last minute kwahiyo tusubiri jioni.
Lakni ni kweli, kuna wataalamu wa soka waliongea kumsimamisha Cristiano kwenye box ndio chanzo cha game kufa pale mbele kwasababu anakosa enough space na mipira yote ikija inagongwa na mabeki kisha jamaa anapanic. Anatakiwa apewe nafasi ya kukimbia ndio labda tutaona mchezo tofauti. Lakini tusubiri Benitez sijui anafikiria vipi.

Cr7 anahtaj space hapo atacheza vzur
 
Last edited by a moderator:
Benitez na safety first approach aliyonayo will spoil this classico-atajaza bodies katikati na kutupia lone striker, Bookmakers are not happy
 
Cristiano Ronaldo has scored 10 goals in his 13 last clasicos

CUGZto3WIAAohnT.jpg

Back
Top Bottom