Hadi sasa hv kuelekea mapumziko...naona eneo la kiungo haswa modric na james wanafanya kazi waliyotumwa...eneo la beki na mbele sion wanachofanya...benzema ndo kabisaaaa,hawa jamaa leo wanatumia upande wa beki yetu ya kulia sana nafikir wameona udhaifu wa huyu dogo kwenye el classico na upande wa marcelo naona leo kawa mzito sana...siyo kupanda wala kushuka...kwa mtindo huu sion aibu ikizuiwa.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.