Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #10,281
Popote anapohusika Arbeloa lazima mpira upotee, sijui miguu yake haikunjiki!
Thank you Arbeloa.
Niwe muwazi hii game kocha kacheza kamari kimya kimya,nisimlaumu awali ngoja ligi ianze ndo atajua washabiki wa madrid walivyo....
Poleni sana, its just a preseason take it easy......
Ni sawa mtani ila inakera kufungwa kizembe tena dakika za mwisho....
Ni kweli mtani ......ila ukiangalia toka mwanzoni mwa preseason hii ushindi wenu ulikuwa Wa tabu sana zaidi ilikuwa kupitia penalty,anyway kwa mechi nyingi mlizocheza Lipo la kujifunza hope msimu mkianza mtakuwa fiti zaidi.

Wanatuharibia timu tu msimu huu ndugu yangu, mi hata la kusema sina. Sasa na yule Arbeloa ile faulo ya nini pale? Au kaona hawapati bao akaamua awasaidie?
Si ndo hapo....mtu tayar upo mbele yale unamchezea rafu ya nn sasa...