Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #9,341
Del Bosque: "Iker is something special. To play 160 games with the NT & over 700 for Real Madrid. I always felt secure when he was in net".
Last 5 captains for Real Madrid:
Sanchis: 1993-2001
Hierro: 2001-2003
Raul: 2003-2010
Casillas: 2010-2015
Ramos: 2015......
Víctor Valdés has been offered to Real Madrid by Man Utd. The 'keeper didn't join the rest of the squad for the US Tour. [Source: SPORT]
Hahaha!
Andika maumivu, chagueni captain mwingine.. maana Ed woody yupo katika ubora wake..
Huyo anawafaa maana kila mchezaji wa Manchester kwenu ni lulu
Andika maumivu....andaa bango lako la Perez out!!!...uko poa lkn?.......nakusalimu tu....
Hahaha, Mi kwangu Perez ndio anafuata baada ya Santiago Bernabeu, chochote atakachofanya ni kwa manufaa ya club, hata kama hakitakuwa fresh.
Niko poa sana, hizi notifications nachelewa kuziona sijui kwanini.
Huyo anawafaa maana kila mchezaji wa Manchester kwenu ni lulu
Andika maumivu, chagueni captain mwingine.. maana Ed woody yupo katika ubora wake..
Sababu nyingine itakayomfanya Ramos abaki ni ule unahodha aliopata. Anaota ndoto kunyanyua makombe juu kama alivyofanya Casillas kwa miaka mingi, ni kitu muhimu sana kwenye historia yake ya soka. Vitu kama kule United haviwezi kutokea.
Vipi ambavyo haviwezi tokea United?
Nilishasema tangu mwanzo Ramos hakutaka kuondoka Madrid anataka kuongezewa mshahara na ameshafanikiwa.LVG nae ameamua kumtumia Ramos ili De Gea asiondoke kiurahisi