Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Dakika 54 bao ni 2 - 2. Liverpool waliongoza kwa 2 - 0, Real wamechomoa.
Mzuka sana. Hivi De La Red hayupo kabisa?
Dakika 54 bao ni 2 - 2. Liverpool waliongoza kwa 2 - 0, Real wamechomoa.
Mzuka sana. Hivi De La Red hayupo kabisa?
Sina uhakika, mi nilihamia kwenye mechi ya Taifa Stars.
Haha Stars wanaendeleaje? Hiyo nayo nimeikosa, usikute East Africa yote sisi tu ndio tumefungwa
Bora usitafute hii mechi kabisa. Dakika 75 tushapigwa 3 bila.
The best i could find, for now.
Nimeona sehemu Liverpool fans wanacomplain sana kama mechi ya UCL vile.
Hahaha, hizo penalties lakini mwenyewe sijazielewa, halafu Carlos kama anaua bana. Ila ni friendly tu
Hizi grey color ndio nimezipenda, unaweza hata kuvaa ukaendea disco.