Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #8,361
Mi ntanunua jacket kama hili alilovaa Benzema, sema bei sasa hata hivyo subiri summer iishe kwanza.
![]()
hahaha eti disco, mi nafurahi hatuna pink safari hii.
Nimeikubali Ramos'
Kuna jamaa kule facebook kasema hii away kit ni worst than pink, watu wanamshambulia utamuonea huruma, watu wanapenda vibaya.
Hiyo sweat shirt iko poa, lakini alilovaa Benzo ni kwa ajili ya baridi.