Hizi tetesi za Mourinho kurudi sijui zitaishaje.
Binafsi Nina wasi wasi akipewa timu yule baba itabidi tuvumilie Tena miaka minne kupata Uefa.
Vinicius kachachamaa kaishaweka Mbili.
Auzwe aletwe nani? Binafsi sijaona mchezaji sokoni anae endana na soka la Madrid ambae yupo juu ya vinicius.Halafu tukifungwa utasikia watu wanasema auzwe. Yaani umuuze Vini kweli?
ShukraniUmepotea thread mkuu, hapa ni Real Madrid. Anyway, congratulations for reaching champions league final
Hii sio drama kuielekea El classico kweli?
Hatuna uhaba na UEFA mazee. Peleka hii picha Barca waliwanyimaga kombe.
Hatuna uhaba na UEFA mazee. Peleka hii picha Barca waliwanyimaga kombe.