Kuna muda unasema ngozi nyeusi kama Nyani hivi, kuna makosa watu wanafanya unashangaa
Sawa Edo kumwembeYametolewaaaaaa 🤣🤣🤣🤣 Safi sana kenge wakubwa nyie nawachukia mno yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge
Bora manchester united hatukumnunuaNasema kila siku Cama na Tchou hawana soccer IQ hata kidodgo the only thing they offer in stupid fouls tu watu sijui huwa wanaona nini in them. Cama na Tchou sio level za Madrid hata kidogo hawana akili.
Bora manchester united hatukumnunua
Na ana medali sijui tatu za uefa😁😁You dodged a bullet there. Cama is one of the dumbest players there is nimesema hili mara kibao, hana soccer IQ hata kidogo. Huwa nawaza aliwezaje kuwa pro tena kuchezea Madrid the most prestigious club. Tchou hayupo mbali either. Wanajua kutumia nguvu tu na fouls za kijinga kila muda.
Na ana medali sijui tatu za uefa😁😁
Mzee sie tulikosea tu msimu tu ulipoanza, Alonso sijui alimuogopa Perez, maana tulikuwa na mapungufu kwenye kiungo tokea pre season na hakuona haja ya kusajili, sijui alikuwa na mategemeo gani ili kiukweli alizinguq, hatukujenga team ya ushindani.Another season bila trophy. Timu mbovu
Nafikiri Board na Rais wanakuwa na nguvu sana kwenye eneo la ufundi kuliko Makocha, Mi naona mzee perez kashachoka na huu ulikuwa muda sahihi apumzike, ashaifanyia club mambo mengi sana lakini zama zimebadilika kwa sasaMzee sie tulikosea tu msimu tu ulipoanza, Alonso sijui alimuogopa Perez, maana tulikuwa na mapungufu kwenye kiungo tokea pre season na hakuona haja ya kusajili, sijui alikuwa na mategemeo gani ili kiukweli alizinguq, hatukujenga team ya ushindani.
Tusubiri tu msimu uishe jamaa waangalie ikiwa wataendelea na Arbeloa ama wataenda na mtu mwingine.
Fact ✊Nafikiri Board na Rais wanakuwa na nguvu sana kwenye eneo la ufundi kuliko Makocha, Mi naona mzee perez kashachoka na huu ulikuwa muda sahihi apumzike, ashaifanyia club mambo mengi sana lakini zama zimebadilika kwa sasa