Nilisema ni either tuchomwe au tumalize game kwa heka heka.
Arbeloa ni kocha mzuri kwenye Approaching, namna anavyowaandaa wachezaji kuuendea mchezo.
Ila SI mzuri kwenye kuusomea mchezo, ndomana hua tukifunga goli chache akifanya sub inakua ka mzozo langoni kwetu