Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT: Tumecheza vzr,tumepress vyema nakukaba pamoja,eneo la mwisho bado hatupo makini sana haswa kwenye kuhakiki,zile rebound kadhaa zingekuwa magoal kama tungekuwa eneo lakuhakiki..goal walilotufunga nikujisahau nakuchelewa kuja kukaba,tukirekebisha kwenye eneo la mwisho hii mechi tunashinda goal zaidi ya mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…