pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Mwanangu umeona eee...aisee hawa vijana aliopanda nao wanajitahidi kwa kwel,kama yule dogo mwingine tena wa juzi (Manuel Angel) wanajituma kinyama,hawa wakiendelea kuaminiwa watakuwa hazina kubwa sana.Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.
Hawa tukiwakosa leo hii timu afukuzwe hadi mpishi.Game tough wazee lakini hawa wetu
Sem incident ya offside ndio inaleta goosebumpsMtu katanua mwili kwa mikono makusudi kabisa.
Sure thing.This red card will leave City traumatized
😀😀😀pesa ilikhwa nje nje...Nawakumbusha wakamaria kua Madrid alikuwa na odds 6