Yule Mtoto nusura atugharimu, sijui ni confidence imeongezeka!? Maana sio kwa alichokuwa anataka kufanya pale golini., Shukran za kipekee ziende kwa Courtois
Mendy anaweza akakosa game ya marudio dhidi ya City, ni pengo kubwa sana kwetu, maana jana alinisaidia kumzima yule Savio, tukabaki na usumbufu upande mmoja tu wa Doku, baada ya kutoka ndio jamaa wakapata uchochoro., sijui itakuwaje ila acha tusubiri.
Noma sana man, sijui alimchungulia aje, wale vijana wa Arbeloa wanajituma hatari, ni kwamba wanataka nafasi ama ni kawaida? Maana kila mahali uwanjani walikuwepo.

Kiukweli wanajitahidi sana, ni muda mrefu sana hatujatumia vijana kutoka Castilla kwa kiwango hiki, kama alikuwa Ancelloti sijui kama angewatumia, ila Arbeloa anawaamini, ndio maana hata Castilla ilifanya vema sana chini yake.