Ila kumtetea Vin nayo ni kazi ya ziada...dogo sijui ni maturity ndogo au nidhamu binafsi yakujicontrol ni ndogo,...utasema anafanya biashara ya music yaan.
Hii timu ukishamchezesha Mbappe na Vin kwa pamoja hapo tayar tupo pungufu,maana wote hao ni abiria...halafu hapa nyuma acheze Ceballos ambaye ni average player mchezaji hewa ndio kabisaa na huku nyuma sasa awepo huyu mtoto Ansencio anayejiona ni Ramos wakati ni Maguire tena yule wakubahatisha..ndio kabisaa,tunakuwa tunakatika mbaya kabisa..
Hapa sasa nikujipa pressure bure...kimsingi tumecheza vibaya leo,tunakaba kwa macho na kutegeana kwingi..msimu huu tusipokaza kwenye ligi basi tunatoka mikono mitupu tena.