Huyu sio jamaa wa CCM na Madrid?Hakutakiwa kwenda kwa wapinzani kufanya vile
Wewe jamaa hua unahangaika sana na Madrid utakufa vibayaEndeleeni kumtetea huyu nguchiro wenu finishazi. Unafunga goli halafu unaenda kudhihaki wapinzani unategemea nini🤣 🤣 🤣
Hiyo ni technical card ya kuji tafutia, incase madrid akienda 16 bora asiwe na kadi.Ana kadi 2 za njano
Sidhani kama ipo hivyo, hususani ukiangalia incidents ya jana iliyopelekea mpaka Vini kupokea kadiHiyo ni technical card ya kuji tafutia, incase madrid akienda 16 bora asiwe na kadi.
rejea rice, au enzi za Sergio Ramos.
Mkuu kwema?na wadau wote hope mko poa...dah!nlikuwa nimebanana na mambo mengi,japokuwa dunia sasa ni kama kijiji ila kuna nchi za wenzetu huko hazipo kwenye hiko kijiji cha dunia,lakini yote ni heri tupo pamoja mkuu na wadau wote.pierre tall siku hizi haonekani kabisa kwenye uzi wetu, sijui yuko wapi!
Hawa Osasuna moto wanatupelekea hapa leo siyo mchezo...Kloop ana haki yakuweka terms zake zakupiga panga watu mapema kabla hajachukua ajira hapo,maana abiria na wachezaji average ni wengi sana humu..
Naona tumezidiwa eneo la kati hapa...Camavinga ashakuwa na yeye ni veterani,hakimbii wala hawezi kunusa hatari...anamkaba sana Tchoumen kwa kumpa mzigo badala yakumsaidia..Dani kule nae anakimbizwa tu.Hii penalty aisee, mbon kituko!? Jamaa wanaongoza hapa
Dani amechoka tu kiukweli, labda kwa kuwa amekaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, inawezekana bado mwili haujakaa sawa, japokuwa na yeye umri umeendaNaona tumezidiwa eneo la kati hapa...Camavinga ashakuwa na yeye ni veterani,hakimbii wala hawezi kunusa hatari...anamkaba sana Tchoumen kwa kumpa mzigo badala yakumsaidia..Dani kule nae anakimbizwa tu.
Hili nalo neno mzee umesemaDani amechoka tu kiukweli, labda kwa kuwa amekaa nje ya uwanja kwa muda mrefu, inawezekana bado mwili haujakaa sawa, japokuwa na yeye umri umeenda
Mkuu kwema?na wadau wote hope mko poa...dah!nlikuwa nimebanana na mambo mengi,japokuwa dunia sasa ni kama kijiji ila kuna nchi za wenzetu huko hazipo kwenye hiko kijiji cha dunia,lakini yote ni heri tupo pamoja mkuu na wadau wote.
Thanks mkuu.Welcome back Tall
😀😀😀mwanangu...ungekuta tushakula kama tatu hivi.Kotwaa kacheza sana kwenye hizi dakika 45 la hivyo sasa hivi tungeshaumia vibaya vibaya