Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Piga haoooooo. Nimefurahi sana

Nawachukia sana yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa nyie safi sana
 
Well, I'm happy for Mourinho and Benfica. This RM is shite. Hamna timu hapa. Hiyo knockout yenyewe wanapigwa na kuaga mashindano. Kunahitaji changes kubwa sana kubadilisha hii timu.

Wale mids wote sio level ya Madrid. Mbele ni mbappe tu japo nae kacheza utumbo tu Leo. Defense ndo hamna kitu kabisa ule Dean tumepigwa. Asencio ilikua nguvu ya soda tu. Alaba kaisha. Timu nzima inahitaji overhaul.
 
RM anakutana na Benfica tena in the playoffs. I can bet a mortgage Benfica anashinda tena. Hii RM ni mbovu mno. Timu yenye mids za Tchou na Cama haiwezi kutoboa. Hamna creativity in the midfield hata kidogo. Players wote wana underperform.

 
Duuh hii imeakaaje mbona back to back

Na hivi mtoano ni home and away
 


Jose Mourinho ni tactician, ashajua tayari afanye nini. Lakini football ni nyoko, every game is different, ndio utamu wake unakuwaga hapo.
Hii timu beat Barcelona na wako vizuri sana msimu huu, let's wait and see
 
What's going on with Real Madrid man? Yaani timu umekuwa mediocre hatuna tofauti na Getafe kabisa
Acha tu Mkuu, siwezi kumlaumu sana Arbeloa maana karithi matatizo matupu, acha tuende tu hivi hivi maana hatuna team ya kushindana.
 
Daaah, angalau kiukweli!! Ni kweli tulicheza vibaya, ila hatukustahili hata droo na hawa jamaa, maana dakika za mwisho vijana walijaribu kila walichoweza, na mwishowe wamefanikiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…