Natumai ushindi utapatikana.Uefa champions league tunakipiga na Monaco usiku huu kwenye uwanja wa nyumbani, Santiago Bernabeu
Hivi Rodrygo ni majeruhi? Maana hii game ya pili simuoni kwenye kikosi.
Hivi Rodrygo ni majeruhi? Maana hii game ya pili simuoni kwenye kikosi.
Natumai ushindi utapatikana.
Kwa mara ya kwanza tumepata ushindi mkubwa msimu huu, je ndio mwanzo wa safari!? Ama vijana walikutana na vibonde!! Game zijazo ndio zitatupa picha.
Kwa mara ya kwanza tumepata ushindi mkubwa msimu huu, je ndio mwanzo wa safari!? Ama vijana walikutana na vibonde!! Game zijazo ndio zitatupa picha.
Nina taarifa Boss, ila game ya jana sikupata nafasi ya kuiangalia, ile dhidi la Levante niliicheck, sikuona kitu kipya, ndio maana hapo juu nimejiuliza!! Inawezekana Arbeloa amepata muarobaini!? Acha tuone, japokuwa sina shaka nae, maana aina ya mpira wake ulinivutia sana akiwa Castilla, Wale watoto walikuwa wa moto vibaya mno!!Benchi la ufundi limebadilika au huna taarifa mkuu?
Nina taarifa Boss, ila game ya jana sikupata nafasi ya kuiangalia, ile dhidi la Levante niliicheck, sikuona kitu kipya, ndio maana hapo juu nimejiuliza!! Inawezekana Arbeloa amepata muarobaini!? Acha tuone, japokuwa sina shaka nae, maana aina ya mpira wake ulinivutia sana akiwa Castilla, Wale watoto walikuwa wa moto vibaya mno!!
Hahaha., ila imekuwa ukweli bana. Halafu alikuwa anafurahia, hakuwahi kuwa na kinyongo, nilishangaa sana aliporudi kwenye Club na kuanza kuiwakilisha kwenye hafla mbali mbali, hapo ndipo nilipoamini jamaa anaipenda hii club kutoka moyoni.Kulikuwa na mtu mmoja humu miaka ya nyuma nilikuwa nacheka sana akimuongelea Alberoa kipindi hicho alikuwa deffender wetu.
Aliwahi kusema Alvaro Albeloa can make a good coach because of the time he was spending on the bench. Jamaa alikuwa anasugua bench mpaka huruma, lakini ni Madridista damu