Beki sio ya clean sheet, kushinda hii game tunatakiwa kutupia nyingine 2.
Kule mbele vilevile wote wako zigzag tu. Rodrygo na Vini walitakiwa wawe mawinga lakini wote wako kwenye box
Tuna shida sana kwenye back line yetu maana tumeandamwa na majeraha kweli kweli, hapo comb nzuri ni Dean na Militao ama Militao na Alaba, ila Rudiger uwezo umeshuka sana, huyo Asencio sijui anajikutanaga nani, sijawahi kumwelewa yule Mtoto.
Hongereni,fainali na Barcelona sijui mtatoboa maana atataka kulipiza kisasi kufungwa mechi ya kwanza ya Ligi....
Sema sijui kwanini hizi mechi za Super Copa de espana accessibility yake kuziona ni ngumu, maana sio Azam Wala DStv hazioneshwi uko...

Mabingwa mara15 UEFA(Bado la msimu huu linawasubiri fainali na Psg,Arsenal,Bayern au Barcelona tn) vikombe vidogo hivi naamini mnamuachia tu Bure Barca nae atambie😁🤣🤣