Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Japokuwa leo naona Vin kaishika mechi na angetolewa Mbape badala yake ila hakutakiwi kupiga kelele nakususa...mtoto mjinga huyu.
 
Hawezi kurudia Tena hicho kitendo wakati kasasua anaenda kwenye vyumba vya kubadalisha wakamuonesha Perez lugha yake tu ya mwili iliozungumza pale pale
Vini so rahisi kuuzwa,
Japo kwa sasa anaonekana kaka Hana msaada sana kwa timu lkn kuuzwa mmmh labda wapate namna.
Kususa ni kawaida kwa wachezaji , wachezaji wengi wale wanaojiona Wana uwezo hawapendi kufanyia sub.
Hata raphinha kabla ya hansi flicks alikuwa anakasilika mpk kupiga viti.
Ni kawaida kwa wachezaji.
 
My wetu naona leo mmekaza.

Mmegoma kabisa kutupa utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…