Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii timu akicheza Mbape na Vin pale juu inakuwa tayar haijabalance...halafu hapa nyuma acheze Bell ndio kabisaaa inakuwa nyeupe peee.
 
Xabi alonso atuachie team yenu mpuuzi sana huy jamaa tangu amekuja, amemfanya rodrigo aonekane ni mchezaji wa kawaida sana
 
Karibu miaka 10 tulikuwa na timu bora kabisa, itachukua muda kuwa na kikosi cha kuaminika. Xabi tukifika nae Christmas basi ni mapenzi ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…