Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nyuma haiko vizuri bado.

Bado wanaitaji mabeki hasa wa kati wazuri zaidi.
Ikiwemo kiungo mkabaji.
Hansi anabaati amekuja kipindi real Madrid haiko fresh.

Mpira anaocheza alonso ni mwepesi sana, ile timu ya jana ilikua ni dhaifu na bado unahisi wanafika maka chini ya goli kiwepsi sana.
 
Nyuma haiko vizuri bado.

Bado wanaitaji mabeki hasa wa kati wazuri zaidi.
Ikiwemo kiungo mkabaji.
Hansi anabaati amekuja kipindi real Madrid haiko fresh.
Tchouameni mzuri tu ,madrid inahitaji zaidi .controller na creator kwenye kiwango hawa akina Valverde na Guler so wachezaji wa kuwa regular kwenye squad
Kingine wachezaji wengi Madrid wazuri kama Wameflop likes ya Vini, Rodriguez na Rudiger solution ni kuwaombea warudi kwenye peak au kupiga bei waletwe wengine world class player
 
Yah ila kupata wachezaji wazuri sasa ni ngumu maana mpk uwapete.

Kutoka kati kurudi nyuma hasa ndo Kuna shida.
Mbele kuboleshwe tuu.
 
Dual ya Vin na Mbape haijawahi kuwa njema hata kidgo kwa timu...kimsingi team inakuwa inacheza pungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…