Kwa style ya Alonso ya uchezaji basi wachezaji kazi wanayo, kama mchezaji hujiamini au hauko makini mtakuwa mnakula chuma tu. Kwa jinsi Leverkusen ilivyokuwa inacheza, Iko so comfortable na mpira, beki anaweza kupiga Hadi pasi kumi hapo Kwa hapo. Beki na Viungo Madrid naona Bado sana, kule mbele wanakimbia kama Mbuzi zilizotoka Bandani. Alonso hatakiwi kucheka na Kima.