Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,969
- 12,435
Kuhusu kuwa uchochoro hilo linafahamika na Alonso pamoja na bench lake wanalijua hilo ndiyomaana jukumu kubwa alilopewa ni kuongeza idadi ya namba wakati wa kushambulia.huyo jamaa ni uchochoro, utafika muda tutongea lugha moja tu
Kuhusu kuwa uchochoro hilo linafahamika na Alonso pamoja na bench lake wanalijua hilo ndiyomaana jukumu kubwa alilopewa ni kuongeza idadi ya namba wakati wa kushambulia.
Binafsi Trent namjua tangu akiwa liverkuku kuwa udhaifu wake mkubwa upo kwenye kuzuia, hili halina shida kwa upande wangu.kama munalijua na mumeridhika nalo musije kuanza kulalamika siku za mbeleni
Tunawasubiri kwenye laligaBinafsi Trent namjua tangu akiwa liverkuku kuwa udhaifu wake mkubwa upo kwenye kuzuia, hili halina shida kwa upande wangu.
Tunawasubiri kwenye laliga
Sis tulizingua kwenye uefa lakn hlo kombe chukueni tu maana psg waliifunga tim yangu ya liverkukuHuk kwenye cwc vp mbona hamuonekan?
Naimani msimu ujao kutakuwa na burudani ya kutosha, wakati huo Yamal atakuwa na mzigo mzito wa kuonyesha kuwa anastahili kuvaa namba 10.Tunawasubiri kwenye laliga
BaridaNi unyama mwingi sana.
Alishachomaga tusubiri kwa mara nyengineWasiwasi wangu ni huyu mtoto Ansencio...huwa hachelewi kuchoma maninaaa
😃😃😃Limebaki jina tu siku hizi.watu wanajua mpiraAlishachomaga tusubiri kwa mara nyengine
Hamna beki yaani yule Dogo alivyopata kadi nyekundu last game nilijua tumekwisha, Angalau Hujsen ni beki wengine hamna kituMadrid mabeki wameoza woote don Perez asipoingia mfukoni sijui itakuwaje
Hii timu bado sana kumanina walah,haiwezi hata kupush mpinzani,timu kila mtu ni father hapo ndani kumanina...leo kama hatujapigwa 8 sijui..🤬🤬🤬