Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Alonso alikua anataka striker mmoja wa kati,

kwanini asiende na huyu huyu Gonzalenz mbona dogo yupo vizuri
 
kaka hydroxo dua zetu zimejibiwa bhana, let's buy the tickets
Ngoja tuone kipute kitakuwaje.

Lakini naamini hawana timu ya kumzuia PSG.

Yule Hakimi ukiambiwa ni beki wa kulia unakataa.

Jana ile assist yake kwa Dembele unaona beki anafanya vitu ambavyo hata winger anashindwa kufanya.

Kati kati ya wachezaji watatu Kapalua katia assist Safi sana.

Ndugu zetu washikilie bomba wasije kutuaibisha kama Inter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…