Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

KILA LA KHERI LUCA MODRIC.

Tangu 2021, Real Madrid wamekua wakimuaga captain wao baada ya msimu kuisha.

  • 2021: Ramos
  • 2022: Marcelo
  • 2023: Benzema
  • 2024: Nacho
  • 2025: Modric.

Tusubiri 2026 huenda Ikawa kwa Carvajal.
 
Hiyo ni baadhi ya taarifa kutoka kwenye website ya club.
Ninaona ni sawa tu, wakati umefika na ni wakati sahihi, japokuwa lengo lake ilikuwa kunyanyua kombe kama Captain.

bado ndio best midfield wa timu, vijana wenu mbwembwe nyingi uwezo mdogo
 
Jambo zuri ni kwamba wao wenyewe wanafahamu ukarabati wetu huwa hauchukui zaidi ya misimu mitatu.
Sasa umefika wakati tufungue chuo cha mipango, ili hao wengine waje kujifunza kwetu, na kwenye hii special thread kabla mtu hajatutania kwanza ajitambulishe ni shabiki wa timu gani, ili tum_scan kuona km anapaswa kututania! au laa.
 
Kwa kweli mpaka sasa sijaona hata wakututania zaidi ya wapiga kelele tu maana hakuna aliyefikisha hata makombe 10 ya UEFA.
 
Watu wametoka trophyless wanakuja kufarijiana wana uefa 15 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…