Duh!, aisee huyu vinicius hayupo serious kabisa. Half Time badala ya kwenda kumsikiliza kocha ye ndo kwanza yupo mitaani anacheza cheza na grealish na leah williamson kwenye tangazo la pepsi
Ukiachana na babu Carlo kuna kitu cha ziada hawa kina Vini, Mbappe, Rodrygo, Jude wanaweza fanya na kocha mwingine na labda tuseme ni kocha gani anaweza kufaa Madrid hii yenye pancha nyingi