Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yaani unapocheza na timu aina ya Arsenal hutakiwi kabisa kuruhusu Kila mara kiungo wa chini achukue mpira free kabisa na kupeleka mbele kirahisi, sijajua ni maelekezo ya kocha ama Nini, lakini kule mbele walitakiwa wapress kweli kweli. Hutakiwi kabisa kuipa timu kama Arsenal utulivu wa kupiga pasi sahihi Kila wakati, Madrid wafanye michakato tu wa kuimarisha kiungo Chao na beki zao mbili moja ya kati nyingine shavu la kulia, msimu watauanza vizuri.
 
Kiungo mwenyewe Ceballos 😂😂😂

Msijali kesho mtafurahi mbona
 
Muda unavyozidi kwenda pressure inapanda pressure inashuka,kuna mambo kadhaa ambayo yanaleta ugumu katika mechi hii,katika UCL hatujawahi wafunga hata goal moja hawa arsenal,na pia sasa hivi wanajitahidi katika uzuiaji na kuna mechi dhidi ya city walijaribu kupaki bus na waliweza kwa asilimia kadhaa,sasa huo ndio wasiwasi wangu...sijui itakuwaje leo kwa kwel🤷
 
VamoooooosReal!!
 
View attachment 3306623Kikosi ndio hiki...kwa kwel leo tunahitaji sana utimamu mkubwa wa Alaba na Lucas,wapande mbele ila wasijisahau..tunahitaji Valverde katika ubora wake haswa..

kwa hiki kikosi Hakuna comeback yyte , vijana hapo mbele najua watajitahd kufunga hata matatu au manne ila hakuna defence ya kuzuia arsenal wasifunge , Alaba hana uwezo wa kumzuia Saka sana sana atasababisha faulo , Vasquez wote tunajua ni uchochoro !!!

Madrid wafukuze kocha
 
Kwa alaba na vasquez hakuna come back hapa tukizubaa tunapigwa nje ndani.

Hii mechi ilikua sio ya kusubori kipindi cha pili inatakiwa kipindi cha kwanza kuwakazia.

Sasa anamuacha Garcia mzuri kwenye kupanda anaanza na alaba.

Plan ya carlo hua ile ile kuua game second half yaani habadirikagi daah.
 

Attachments

  • FB_IMG_1744825109668.jpg
    114.6 KB · Views: 17
Mwenyewe nina presha, ila hatuna budi kukabiliana na hili., dakika 15 za kipindi cha kwanza ndio zitatupatia majibu sahihi!!
##HalaMadrid!!
Mzee hua habadiliki huyu dakika 15 za mwanzo usishangae madrid kua nyuma ya mpira wakisubori arsenal wakosee.
 

sasa mkuu ulitegemea nani mwengine acheze? Ceballos bado hayupo fit enough to start, Modric mechi iliopita ilimshinda. Hatuna option nyengine zaidi ya kumrejesha Valverde kati.
 

Nani mwenye uwezo wa kumzuia Saka?
 
Hii mechi hakuna dalili ya kutoboa, Bela ya Ceballos kwa sasa Madrid ni kichwa cha mwendawazimu
 
Nani mwenye uwezo wa kumzuia Saka?
katika long ball ambapo wings ndo wanakuwa danger , saka anaweza kuzuiwa na watu wenye mbio , combination ya Garcia na ascensio ingefanya kazi na sio mzee alaba , sana sana atakuwa anamsindikiza tuu mpak kwenye box au kumfanyia faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…