Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

kweli leo wirtz akacheza real madrid embu acha dharau basi
 
Ancelloti tulia🤣🤣
 
wewweee, em rudia hiyo kauli ya mwishoni angalau huenda punda weupe wakaelewa
 
Matokeo hayashangazi sana , cha kumlaumu kocha ni kumpanga Alaba , kutomruhusu Vini kucheza full left wing until is too late badala yake mda mwingi amecheza akiwa ndani ,

ukweli ni kwamba Madrid ina tatizo la defence na hasa mid , kwa sasa kwenye mid ni empty kabisa , hakuna link nzuri kati ya attacking na mid , Tchouamen na Cebballos somehow wamesaidia sana miez mitatu iliyopita ila wote kwa sasa ni pancha , Hata Bernabeu sioni comeback yyte , Hakuna Mid ya kusaidia hyo miujiza, Madrid ameaga mashindano , kikubwa hapo ni kubadri kocha na kuuza baadhi ya wachezaji garasa!!! msimu mbaya huu
 
kuna ulazima valverde arudishwe kati
 
kweli leo wirtz akacheza real madrid embu acha dharau basi
baba yenu kaenda kuulizia bei yake huyo dogo, ametajiwa 140 million euros, ila bado hajakata tamaa. Kama tchouameni na camavinga wanaichezea madrid, babu modric leo first eleven kabisa, why not kwa florian wirtz?. Au nitajie takataka yeyote pale madrid ambayo ni brilliant over wirtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…