Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Mzee ni kama ameishiwa mbinu hivi, na bado ana ile mambo ya kumwamini mchezaji fulani, mtu amechoka atausaidia vipi?Hawajaamua ila uwezo wa RM huu msimu mdogo sana. Match zote ni kama final kwetu, individual brilliance ndo inaamua games hakuna team work. Carlo lazima aondoke uwezo wake umefika mwisho.
Labda kama team itabadilika, ila kwa uchezaji huu kazi tunayo kweli.This is not entertainment but torture rather. Timu Haina game plan. Barca, arsenal kazi tunayo.
Mzee ni kama ameishiwa mbinu hivi, na bado ana ile mambo ya kumwamini mchezaji fulani, mtu amechoka atausaidia vipi?
Unataka aje na short video zakeNumbisa uko wapi?
NaamUnataka aje na short video zake
Endrick aliitendea kazi hiyo pasi aisee.I lipiga pasi na vin na ikafika.
Bonge la assist, Vin jaja alikua kwenye kiwango kizuri
Noma sanaEndrick aliitendea kazi hiyo pasi aisee.
Huu msimu mtapandisha sukari sana. Kwa lile defence lenu, hasira zitakua nyingi mno!Tutolee utoto wako huku hakuna anaendika na kuweka ma emoji
Carvajal ni majeruhi haijulikani akipona atarudi kwenye kiwango chake kwa muda gani?
Vervede ni wa dharula kama ilivyo kwa lucas, ila dharula zao zinatofautiana
Vervede anahitajika eneo la kiungo ila alirudi nyuma kutokana majeraha ya carvajal na vasquez.
Vasquez mbele alishapoteza namba kitambo, akarudishwa nyuma ambako madrid imekua ikisua sua kwa kua haikua na backup ya carvajal.
So ikiwa Vervede anaweza kucheza kiungo na nafasi yake ipo, ulitaka nimlimganishe nani mwingine kama sio vasquez ambae hakuna nafasi ingine anayoweza kucheza kwa sasa zaidi ya beki mbili!!
Hawajaamua ila uwezo wa RM huu msimu mdogo sana. Match zote ni kama final kwetu, individual brilliance ndo inaamua games hakuna team work. Carlo lazima aondoke uwezo wake umefika mwisho.
Sio kweli mzee hiyo ni imani yako na timu haihitajì imani inahitaji uhakika.Vovote Carvajal atakavyorudi naamini bado atakuwa bora kuliko trent.
Valverde ni bora akaendelezwa kucheza beki ya kulia, timu inahitaji balance katikati ambapo yeye na Jude wakicheza pamoja inakosekana.
Hizi porojo za individual brilliance ni takataka. kuishi kwa kukariri vitu amabavo havina uhalisia
Mbona hatuoni hizo individual brilliances vini na rodrygo wakizifanya Brazil?
Nani anaongelea Brazil hapa? Umekula maharage ya wapi mkuu?
Game ya Jana goli gani halijahitaji individual brilliance?