Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Carvajal ni majeruhi haijulikani akipona atarudi kwenye kiwango chake kwa muda gani?kwanini umlinganishe na Lucas na sio Carvajal au Valverde ambao ndio starters wetu? lucas ni mchezaji wa dharura, au huyo anorld anakuja kukaa bench?
Hata vervede anahitajika ndani nimuone hata akitembea tembea uwanjaniSecond half ni lazima Vini, Rodrygo na Tchoumeni waingie fasta sanaaa kmmmmk
Yaani ilikuwa mtafutanoJude Bellingham 2-2 umefanyika msako wa nyani hapo, ngedere Hoi
Ile energy ndio naipenda sema hua wanaifanya mara moja mòja sana kwenye matukio ya kuamua mechiYaani ilikuwa mtafutano