Alikua na njano harafu tiko tiko walikua wamefanya sub 3 zote eneo la kati.Dani anatokaje sasa? Ancelloti bana
Ngoja tuone mpaka mwisho wa msimu hali itakuwaje.Na Mimi nimefikiri hivyo pia, kwamba sasa hivi wanaangalia hata ka kosa kasikoeleweka., yule refa wa juzi alifungiwa so inaweza ikawa sababu.
Dogo asencio ashaonesha uwezo tayari.
Kwa sasa anahitaji mwendelezo tu.
Moja ya faida tuliyonayo kwenye huu mchezo ni uwezekano wa haaland kutokuwepo.Hii game kiukweli tulistahili ushindi, kipindi cha pili team ilicheza vizuri sana., tumedrop points, next ni Man City kwenye UCL
View attachment 3229851
Kijana anakuja vizuri, jitihada ziongezeke tu.
Labda ndoo ya kuogea. Anglia msimamo kwanza.Endeleeni kudondosha point mkija kustuka Barca tushabeba ndoo.
Nakusubiria el clasico na timu yako yenye beki kama chujio.Derby ya kwanza iliniuma baada ya Atletco kuchomoa dakikia za jioni..
Ila hii ya jana imeniuma zaidi..
Sawa mi nakukumbusha tu mnadondosha point mdogo mdogo.Labda ndoo ya kuogea. Anglia msimamo kwanza.
Sawa mdogo mdogo mtatifikia lini nyie mnao dondosha nyingi nyingi?Sawa mi nakukumbusha tu mnadondosha point mdogo mdogo.
Nyingi wakati nikishinda game yangu ya leo na Sevilla gap linakuwa point 2.Sawa mdogo mdogo mtatifikia lini nyie mnao dondosha nyingi nyingi?
Kwanini yule Vallejo yupo kwenye bench tu msimu mzima? Yule ni natural defender
Shida ya ancelotti ni mara chache kuvumbua vijana , kwasababu huo upande wa lucas ulitakiwa kuwa na mbadala hata kwa academy ya timu.
Ndio maaana Guardiola hawezi vumilia upuuzi kama anao sacrifice ancelotti,kuwa yeye akishaona pengo mara moja huchukua hatua. Nashangaa kuna game tchouameni akigusa tu mpira anazomewa lakni carlo mechi ilofata alimpanga fresh tu bila bugdha🙌
Kweli mkuu, sio sababu ya kuwa na academy halafu watoto hawapewi nafasi ya kuziba mapengo kama haya