Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Dirisha kubwa madrid wangempambania Martin zubimendi na Witz.hilo sio tatizo lake ni tatizo la timu kuwa na midifields ambao ni belowa standard. Tatizo anapocehza beki huku akiwa na mtu kama vasquez pemeni anakuwa anapata shida sana. Na pia pengo lake katikati tunapocehza na timu zinazo miliki vizuri mpira linakuwa ni kubwa sana kama vile Barca au City.
Kisha wakatafuta beki mmoja wa kulia na beki mmoja wa kati, timu inaweza kukaa sawa nadhani.