Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nyie ubwa pesa za kuhonga marefa mmjengea uwanja 🤣🤣🤣🤣

***** mtashukaaa daraja🤣

Madrid mwembe wa uwan🤣
 
Bellingham amempidha Arda Güler, ni matumaini yangu ni mabadiliko ya kawaida tu na sio majeraha, kwasababu kiukweli majeruhi yametuandama kweli kweli.,
 
Ceballos ana pass fulani kali sana, ni vile tu Ancelloti alikuwa hamuelewi, ila kwasasa sio mbaya, ana confidence na anacheza vizuri
 
Huyu Mbappe magoli anayokosa ni 99% ya nafasi anazopata,inatakiwa afanye mazoezi sana yakutumia nafasi..
Nindhani alipania sana kuwakera PSG, bahati mbaya mambo hayajaenda alivyotaka., kilichobaki ni atulize kichwa tu sasa,afanya mazoezi kadri anavyoweza.
Kuna sehemu nimeona kuwa Club imemcheck Zidane ili afanye mazungumzo na kijana,
 
Hiyo itakuwa safi sana...maana kwa kwel anatucost na anakuwa na haraka na maamuzi sana,hana utulivu eneo la mwisho.
 
Mbappe apunguze papara kila kitu kitaenda sawa, Ceballos ni staring material lazima aanze sijali nani atakaa bench. analeta kitu bora kuliko wengine wote ndani ya midfield.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…