Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mzee hukuona alivyokuwa anaua moves golini kwao

ameblock mipira miwili, wakati wenziwe wengi wameblock zaidi ya hiyo, alikuwa ni worst player ndani ya pitch kwa real madrid na hata rating zote zinazungumza hivyo.

Real Madrid player ratings vs Bayern Munich: Joselu, you cannot be serious?! Super-sub writes his name into Champions League folklore as Vinicius Jr's brilliance is rewarded with late comeback | Goal.com

Hii nimoja ya media inayompigia debe mno ila kwa jana pia imekosa uchochoro wa kumtetea.
 
wew na we tutole upambavu wako apo kila siku Jude Jude tumekuchoka
 
wew na we tutole upambavu wako apo kila siku Jude Jude tumekuchoka

kwanini unateseka? nimemjuibu mtu mwengine unadandia? kiherehere cha nini mkuu? Angelifunga goli huyo Jude ungekuwa unagaragara hapa na kunitafuta, ame flop kwenye game unajifanya hutakiwa kusikia habari zake
 
jukwaa sio lako hili Ndio maana unajibiwa na yoyote yule ingekua hutaki watu wenye viherere ungetengeneza jukwaa lako uwe una comment peke ako unakera haijarishi una mjibu nani kila siku wew ni sentensi moja kuwa Basi mtu mzima kidogo
 
Mkuu samahani, naomba unicheki PM , yako naons umefunga, nataka tuongee jambo.
 
hapana izo kazi mim
iyo kazi sifanyi sorry mtafte mtu mwingine kuna comment nying tu kweny hiyo maada unaweza kutafta mtu mwingine na comment yangu inajieleza unataka kitu Gani tena kutoka kwangu
 
jukwaa sio lako hili Ndio maana unajibiwa na yoyote yule ingekua hutaki watu wenye viherere ungetengeneza jukwaa lako uwe una comment peke ako unakera haijarishi una mjibu nani kila siku wew ni sentensi moja kuwa Basi mtu mzima kidogo

Nawewe pia Jukwaa sio lako acha kuumia na comment za wenzio.
 
Nawewe pia Jukwaa sio lako acha kuumia na comment za wenzio.
hakuna anayeumia na comment zako ila umezidi kuandika upuzi
 
Hata kama mtu haumpeendi hii imekua too much yaani wewe hujaona jitihada yake yoyote?
 
Hata kama mtu haumpeendi hii imekua too much yaani wewe hujaona jitihada yake yoyote?

mkuu kwanini munaumia na mimi kutoa mawazo yangu? kila mtu uwanjani anafanya jitihada, kwa hiyo hapa hatupu kwenye kzuungumzia jitihada, nimezungumza performance nzuri na sio jitihada.
 
mkuu kwanini munaumia na mimi kutoa mawazo yangu? kila mtu uwanjani anafanya jitihada, kwa hiyo hapa hatupu kwenye kzuungumzia jitihada, nimezungumza performance nzuri na sio jitihada.
watu awaumi ila wanakuona ni mjinga unakuweje shabiki wa timu ambayo huwapendi wachezaji wake kama sio unafiki ni nin au wew ni yule shabiki wa city una ID mbili mbili unajifanya ni shabiki wa Real madrid kumbe ni muongo ungekua shabiki wa kweli wa Real madrid usingekua unakuja kila siku na stori ya kukosa mchezaji tumekuchoka punda we
 
ndio nikasema unaumia mkuu, mana wenzio wametulia tu
Nani aliyetulia kweny hili jukwaa wew si ndio unaongoza kwa kupaluliwa na watu ulivyo mjinga kila siku unakuja na kimada chako icho icho jude jude acha kutafta sifa za kipuzi watu wapo kweny hili jukwaa kufrahia soka la timu yao wew unakuja na macomment ya ukosoaji usizani watu wanapenda unachoandika watu kukaa kimya haina maana kama hawaoni ujinga wako Punda wa kijani we
 
Hao siku hizi wanahamia kila timu, Manchester City, leo walikuwa Bayern, na kuanzia usiku huu ni Borrusia Dortmund. Hao ni bure kabisa hao
Ni kweli mkuu ujuwe Ukiwa shabiki wa barca ukonde bure tuu. Barca yao.
All anti- madrid clubs pale la liga ni clubs zao.
Man city
Buyern munchen
Dortmund
Liverpool
Chelsea
Muda huu wanajisogeza na Liverkursen
Aseee hawa watu wakikonda ntawashangaa mbona wana clubs nyingi za kuwapa matokeo.
Mwakani hawachezi UCL lakini tayari wameshapata machaka ya kushabikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…