Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kibendera kawabeba kwann awahi kunyanyua kibendera kwenye tight offside call km ile ilhali alitakiwa aache gemu iendelee VAR iamue baadae?
 
Kosa
Bado siamini tumeingiaje final
Kosa kubwa kabisa ni sub ya tuchel.

Kisha don carlo akagundua uhitaji wa namba 9 asili, kuna mipira kadhaa vin aliingia nayo kwenye box lakini kuna mtu alikuwa anakosekana. Baada ya zile sub niliamini game inaenda extra na bayern anakufa extra, wasingeweza kumudu ile presha kwa dk 30 za nyongeza.

Yote 9, camavinga vs tchoumeni, nampenda zaidi cama,ana sifa nyingi kuliko tchoumeni
 
Dah Tuchel...

Ulikua uko right track hadi ulipokutana na Carlo or no sio Carlo ni Madrid...

Nakumbuka mwaka fulani Pep alifanya kosa kama lako akaadhibiwa, hukujifunza?

Au ulimuona fala?

Pale Madrid kuanzia kocha hadi mashabiki ni majini.
 
Mpiga uliopigwa ulikuwa mbele kuliko JOSELU .

Tatizo hatuijui vizuri sheria ya Offside, tunabwata tu.

Kama mpira uko mbele kuliko mfungaji wakati kross inapigwa hiyo si offside.
usipotezee mda wako kuelimisha watu ambao wanatumia Hisia kutafsiri matukio mtu kacholewa mstari ni onside anakaa bado anauliza maswali ya ajabu
 
Dah Tuchel...

Ulikua uko right track hadi ulipokutana na Carlo or no sio Carlo ni Madrid...

Nakumbuka mwaka fulani Pep alifanya kosa kama lako akaadhibiwa, hukujifunza?

Au ulimuona fala?

Pale Madrid kuanzia kocha hadi mashabiki ni majini.
kwani icho alichofanyiwa jana ni mara yake ya kwanza 2022 kafanyiwa ivyo ivyo
wew kila siku tunakwambia fainaili ilishachezwa ETIHAD huelewi umenganana na kuama ama ama timu
 
Movie bado haijasha,
Na ndio kilichomua thomas kuna mda alikua anaamini mechi imeisha wakati game ilikua mbichi kabisa

kuna mchezaji wa bayern alibakia nyuma joselu akamtegea akamaliza kazi

Baada ya kupata goli, 20 minutes to go, Bayern wakaanza kutegemea drama. Si unaona hata disallowed goal la Real Madrid, jamaa badala ya kudefend tucheze mpira wakaanza kuhamia Hollywood. Kuna mambo kwenye hii knock out stage yanakera sana. Refa nae sijui sababu gani alikuwa hataki kumaliza mpira baada ya dakika 15 za nyongeza, yaani alimradi tu watuharibie sherehe
 
Naunga mkono hoja
 
lile Goli la Nacho angekua micheal oliver angeweka kati yule ni shabiki kindaki wa The white ndio maana hawataki kabisa kumpa game za Real madrid hasa kubwa
na Vile Bayern baada ya kupata Goli walikua wanalala angepeta hadi wajute
washukuru sana Mungu toka Micheal oliver awanyonge Juve amekua hapewi mechi za Real madrid
 

Hata yule refa kaogopa lawama tu, lakini angalia vizuri, akamvaa Nacho kwa makusudi halafu kajiangusha hataki kucheza mpira.
Yasemwe yote lakini you can't take it from Real Madrid. 20 minutes to go walikuwa down kwa goli moja lakini wamecheza mpira wametikisa nyavu mara 3.
Na hii sio mara ya kwanza, wamefanya hii kitu again and again. Wamaolalamika sijui tuwape nini?
 
Hizi mechi za real Madrid na Bayern munchen laziwe ziwe na controversy ndani yake, mechi ikiisha lazima usikie hivi mara hivi.

Sijapenda mchezo wa Bayern baada ya kupata bao. Hata Atletico Madrid nao wako vile, badala ya kucheza mpira mpaka dakika ya mwisho wanahesabu dakika, lazima ziwe lawama kwasababu wanategemea favours upande wao tu. FIFA waiangalie hii kitu inatuharibia mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…