Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Joselu anaongeza goli hapa.,
Hili goli nimelipenda kwasababu, moja ni counter halafu cha pili Nacho ndio ametoa assist., angeweza kufunga ila hakutaka uchoyo akaona na Joselu na yeye aingie kambani.
 
TONI KROSS

kijana aliyetemwa na uongozi wa Bayern (board) kisa kutotaka kumuongezea mshahara sawa na gotze wakizaniya kross hayupo sawa na wenzie yani kwamba yeye sio world class na kupelekea kuwa na mahusiano mabaya na uongozi uliopelekea kutaka kuuza

mbali na mtafaruko huo pep Guardiola akiwa kama manager wa bayern ali isistiza board wamuache kijana akue na a revolve kwani alikuwa aki mtumainia kuja kuwa World class uko mbeleni

hawakumsikiliza pep and they made a huge mistake....

they finally decided to depart him to other clubs one of it ilikuwa ni Barcelona... but guess what

Barcelona rejected toni... not once but twice (2) under their manager luis Enrique he kept insisting that ivan racktic would be a better recruitment more than Bayern Munich CM ( toni kross)

toni akuwa na mahala pakwenda and that's where God stepped in and show him miracle wonders... Bayern Munich received an inquiry from Madrid they came with an offer for 25million for the upcoming goat midfielder one of the maestro of football

he arrived in Madrid na wala hakuwa a shocking signing only 8000 fans arrived at his presentation the same year they presented james Rodriguez where more than 40000 fans arrived for the Colombian star

and the rest to this world was history where toni managed to win all the trophy at the club level with Madrid and it was a loss for losing him for Bayern munich

ladies and gentlemen the king maestro TONi KROSS
 
TONI KROSS

toni akuwa na mahala pakwenda and that's where God stepped in and show him miracle wonders...
toni managed to win all the trophy at the club level with Madrid and it was a loss for losing him for Bayern munich
Wewe ni muongo.
Hujui mpira.
Mpira = biashara + championship

Timu haiwezi kukumbatia wachezaji wote hata wawe wazuri aje... Eti kisa wataleta ushindi. Kumbuka Payroll inawahusu.

Kwa akili yako, basi hakuna timu ambayo haijaingia hasara kwenye uuzaji wa wachezaji.

  • Madrid aliingia hasara kumuuza Robben.
  • Chelsea aliingia hasara kumuuza Debruyne
  • Madrid (tena) aliingia hasara kumuuza Dimaria kisa Rodriguez
  • Arsenal aliingia hasara kumuuza Gnabry
  • Man United waliingia hasara kumuuza Ronaldo
  • Tottenham waliingia hasara kumuuza Modric

Usiwe una copy na kupaste content za watu... Andika uchambuzi wako binafsi.
 
dah for context wise ni kitu umeshindwa tuliza akili kufungua ufahamu kuelewa nini goal ya hio makala hapo juu
 
people don't just write about stuff without a clue.... unafikiri watu hawana credibility ya kuwaza what's the outcome of my writings

kiufupia pia hio niliyo andika ni sawa na jee wajua something someone is going to learn about know the beginning and also learn to appreciate what's theirs at the moment
 

Mkuu maelezo yako sio sahihi kabisa,

  • Kroos aligombaniwa sana wakati anaondoka ila mwenye alichagua kwenda Real Madrid
  • Bei aliyonunuliwa ilikuwa ni kubwa ukiangalia alibakisha mkataba wa mwaka mmoja, fanya tafiti wachezaji waliokuwa wamebakisha mwaka mmoja ndani ya mkataba waliuzwaje kwa kipindi hicho.
  • Tatizo kubwa la buyern na kroos ilikuwa ni ishu ya mshahara, Kroos ali demend mshahra mkubwa kiasi, Buyern sio kama waliona hastahiki hapana, ila walichohofia ni kuwa wangelimuengezea ingeleta mtaharuki kidogo kwenye timu mana timu ilikuwa ina wachezaji wengi wazawa wenye viwango vikubwa ambao walikuwa wakilipwa mishahara ya kawaida sana kuanzia Lahm, schweinsteiger, neuer, muller ambao wote walikuwa ni seniors kwake kwahiyo lazima nawao wasingelikubali na wao wangelitaka mishahara mikubwa ambapo hapo lingekuwa tatizo kubwa kwao, na ndio mana wakaamua kum sacrifice, Kwa kweli yalikuwa ni maamuzi magumu sana kwao.

Mkuu Kroos alikuwa tayari ni world cup winner tena katika key players wakati anaondoka Munich
 

Mkuu kuna mambo mengi huwa tunazungumza kimihemko tu ila hayana uhalisia

Hakuna hasara yoyote iliyopatikanwa hapo kwa kuuzwa hao wachezaji labda kwa ishu ya Robben tu.

- De bruyne alishindwa ku develop akiwa chelsea, na huyo de bryune tunaemuona sahivi asingelipatikanwa kama angeendelea kubaki Chelsea, KDB ali develop alipokuwa Germany na ndipo alipoanzwa kuchezeshwa midfield badala nafasi yake ya awali winger. Kwa CHelsea angeendelea kubaki kuwa winger na pengine hivi sasa angelikuwa ameshasahauliwa.

- Madrid haikula hasara kumuuza Di maria mana hapakuwa na pengo lake popote, Tukumbuke kuwa nafasi ya Di maria ilishachukuliwa na Bale wakati bado Di maria akiwepo, Carlo alijiongezo na akamdevlop akawa anacheza Midifield, Ni kweli DI maria alikuwa ana uwezo mkubw akuliko Bale na James, ila kuondoka kwake hakukuiathiri timu kwa chochote. Na madrid walipiga faida ndefu kumuuza kwake.

- Ishu ya Arsenal na Gnabry ni hivo hivo kama ya KDB, Gnabry ali develop baada ya kuondoka arsenal, angeendelea kubaki pengine angeishia kuwa Carlos Vela mwengine.

- Man Utd walipata hasara kwa njia gani? a) walipata faida ndefu kwa kumuuza Ronaldo, b) Ronaldo hakuwa tayari kubaki tena kwenye timu kwa maana hata wasingemuuza angeishia kuondoka bure. c) Mafanikio na tunzo alizozipata akiwa Real usifikirie kuwa pia angelivipata akiwa Man Utd, Real MAdrid ilikuwa timu bora iliyomsaidia akapata mafanikio Bora usifikirie zile 50+ Goals angeliweza kuzifunga pale man utd au yale mataji ya Champion League yalioyjipanga angeyapata pale Man utd chini ya David Moyes na Van Gaal. huku team mates wake wakiwa akina Rashford na Evans.

- Modric asingefikia peak yake akiwa na timu kama spurs ambayo ilikuwa ikicheza mpira usioeleweka, mpaka anaondoka Spurs alishafikia kuchezeshwa forward kabisa position ambayo sio nzuri kwake na alishaondolewa kwenye midifield mana alikuwa hapigi mikasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…