Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,558
- 2,603
We hutaki?Jude yupo juu ya Musiala? Duh! Simchezo
We hutaki?
Lete vigezo unavyotumia kukataa Hilo.
okay japo in my final suggestion tumpe kijana mudaNa tatizo kubwa la huyo kijana ndio hilo, one of the best player in the world, sijua huwa mnatoa wapi munakubali kukaririshwa tu, One of the best player in the world ndivyo anavyokua na standard ile? yakupotea uwanjani gam nzima? Jamaa Champion league toka ianze round of 16 hana Goli wala Assist.
1. kuwa stateter England sio hoja yenye mashiko mana hata Magure nae pia ni starter England
2. Aliekwambia nani kuwa watu wakituoa hela ndefu wanajua wanachokifanya? Barca ililipa nearly 160m kwa Coutinho wakaishaia kula hasara nzito, hao Madrid walilipa 100m kwa hazard wakaishia shoti ndefu. chelsea wamtumia nearly 1 B ndani ya misimu miwili na timu ipo kwenye hali mbaya sana, tuache maisha ya kukariri sio kila wanachofanya wazungu ndio lazima kiwe sahihi.
3. nakukosoa mkuu amepitwa pia na lewandowski sio dovbky peke yake, na ni kweli amkua na mchango ila mkuu since January hata goli tano hajafikisha, upeopo umkata mda mrefu sana sasa.
4. Experience yangu inanambia ni ngumu sana kwa wachezaji wa kiengereza kudevolope zaidi ya wanapoanzia, wengi wao best years zao ni wakiwa makinda.
Mkuu unajiaibisha sana,
Musiala ni photocopy ya akina leo Messi, David silva, Iniesta
Jud ni photocopy ya akina kevin prince boateng
aisee jude sio copy ya zidane tena
kwahio mna conclude nn sasa twende tukamswap na musiala pale bayern au tum uzie city afu hio pesa tukamchukue musiala
au tumlete musiala CAM aje acheze na CAM mwenzie jyde kwa pamoja
kumbe Uwezo wa MTU inategemea na photocopy?Mkuu unajiaibisha sana,
Musiala ni photocopy ya akina leo Messi, David silva, Iniesta
Jud ni photocopy ya akina kevin prince boateng
Comment hii ifunge rasmi huu mjadala. Well said broSioni haja ya huu mjadala., sana sana kuna watu wanataka kumshusha Jude basi., ila ninachojua ni kuwa kijana bado ana muda wa kubadilika na kuendelea kuimarika, ndio kwanza ana miaka 20 tu.
Kama Vinicius Jr amebadilika na kuimarika sioni kwanini isiwe kwa Jude.
Naam naam, na vijana tayari wapo uwanjaniReal madrid vs Cadiz 17:15 leo
Anajitahidi, japokuwa ninaona kama anacheza kwa uoga sanaHuyu Arder akipewa nafasi za mara kwa mara anaweza kuwa msaada mkubwa sana, skills zake za kusakata kabumbu zinatia matumaini sana.
jude leo kafunga mamluki huwezi muona kashachungulia live scoreMilitão bado hayupo makini, mara ya pili anatoa boko, ila Courtois anasahihisha makosa yake.
Hapana Mkuu, tunahitaji point moja tu ili kutangaza Ubingwa, na endapo Barca leo akitoa droo ama kufungwa na Girona tutakuwa mabingwa rasmi.Endapo tukishinda leo tunabakiza point 4 tubebe kombe.
Assuming Barca anampiga Girona
Nafikiri bado anawoga wa majeruhi.Anajitahidi, japokuwa ninaona kama anacheza kwa uoga sana