Xhizo de incredible
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 112
- 176
Jamali Musiala fundi kinoma born with it anavyocheza kabisa unaonaje anacheza nn uwanjaniHalafu kuna wapuuzi wanamlinganisha na Flophingham, Kwenye ukweli mahaba yanatakiwa tueke pembeni kabisa.
Hakuna shida kwenye hilo man, ndio maana ya professional football, Mbappe kwasasa ni mwajiriwa wa PSG so yupo kazini kwake akimpambania majority wake., mbona ilishatutokea kwa wachezaji wengi sana na haikuwa ishu, kuna kipindi Morientes alitutoa akiwa na Monaco na haikuwa shida, wenzetu hapo ni waelewa sana.THOUGHTS
Hivi ikitokea Madrid na Psg wakawepo into finals hapo Wembley
then mbappe akaweza somehow kuwawezesha psg kubeba kombe lao na lake lakwanza akiwa nao psg mbele ya madrd ambao ndio according to informations ndio anatua huko
How will this sound na ni vipi Madrid watawezaje kumpokea huyu bwana mdogo na vipi kinyongo cooperation ndani wachezaji juu ya mtu aliye tunyima kombe ndio kaja kujiunga nasi.., vipi pia fans maana tunajua laliga ndio ligi yenye most provoking fans hawachelwei kumfanya scapegoat na some racist chants
Point Ila nafikiri wakisajili Real msimu ujao watakuwa kwenye quality nzuri zaidi na hatariNope sio kama watu hawamtaki carlo lakini mpira wa sasa unaenda unabadilika let say tulitolewa na city kwa penalty then watu lazima waje juu sababu tulikuwa na kiwango kibovu zaidi ya previous H2H with them
carlo tangu atue ni mtu ambae ana implement simplier philosophy yani sio complex minded inapelekea mashabiki wawe wana rely on luck and Madrid composer of winning mentality yani ( sisi hata tukipewa 1% dhidi yao wao wapewe 99 % tutashinda tu)
Huo mpira wa bahati bahati huwa unakuwa na mwisho tunataka tutengeneze au turudishe legacy yani mtu akikutana na Madrid lazima atetemeke kama ilivo kwa city sio mtu anasema tunapita ki bahati bahati a good playstyle which is somehow relevant na ile era yakina cr7 modric casemiro...
so we need someone like xhabi who is undoubtedly is or will be one of the greatest along side top elites kama pep arteta ambao washatengeza high standards... si tumechoka tunacheza mechi tunatetemeka tunakata tunacheza na mtu kama man city yeye mwenye anatupa respect kama anayo wapa Liverpool kuwa ni wagumu na anawaogola kiaina na sio unafki kuwa anacheza na sis huku akiwa aona madrd kwa bahat waliyo nayo ndio kitu pekee watatumia kututoa
Halafu inatakiwa watu waelewe kuwa Real Madrid mara nyingi Coach hafanyi usajili, ni mara chache sana Coach atatoa mapendekezo na yakafanyiwa kazi., ila kinachotokea ni kuwa Club inasajili kutokana na matakwa yake wanavyoona wao.Point Ila nafikiri wakisajili Real msimu ujao watakuwa kwenye quality nzuri zaidi na hatari
kuna yule dogo wa kike adi alikua anatukana matusi yani binti wa miaki 7 ana mzuka na mpira kama mtu mzima
Wale wadau wa Belingham tunaomba maoni yenu, Au na jana pia ni bahati mbaya game ilimkataa?
watu wanazani Real madrid ni Man u kila mchezaji anayevuma basi wanamsajili tu watu wanasindwa kujiuliza kwanin kipind wale watoto wa Ajax wanavuma Real madrid ilikua inahusishwa na kumtaka Van dee beek na sio kina Frenkie dejong wakati kina Frenkie dejong ndio walikua wanakiwasha balaa.Halafu inatakiwa watu waelewe kuwa Real Madrid mara nyingi Coach hafanyi usajili, ni mara chache sana Coach atatoa mapendekezo na yakafanyiwa kazi., ila kinachotokea ni kuwa Club inasajili kutokana na matakwa yake wanavyoona wao.
Kazi ya Coach pale ni ku-manage kikosi tu, na hapo ndipo utakapoona ugumu wa ile kazi, sio kila Coach amaweza kufanya kazi pale, hii team inayoiona ukimpa Kocha mwingine anaweza kupotea, mpeni Carlo maua yake
Lete takwimu za Musiala kwenye big games msimu huuKwa kweli Real wamefail kwenye usajili ya JUDE, sio quality ya kum replace Luka, Musiala alikuwa ni better option. Jamaa unaotea kabisa kwenye big games. ambazo ndio hua anatakiwa afungulie mashine zake uwanjani.
Macho yako hua Kwa Bellingham Tu, Wengine wakicheza Chini ya kiwango husemi, Una matatizo weweWale wadau wa Belingham tunaomba maoni yenu, Au na jana pia ni bahati mbaya game ilimkataa?
Madrid ilichukua uefa 3 mfululizo, Kwa style Hii Hii ya kuita bahati,mpira haujifichi rudia kusoma nilicha type rudi kacheki mechi za Madrid fatilia critics za wachambuzi na hata wachezaji wenyewe juu ya quality ya Madrid pindi wanapo cheza then conclude
1 tuchel kusema kuwa build up ya madrd ya kupata goli huwa linatokaga out of nowhere then ukiangalia goli ukarudi sekunde kadhaa nyuma ndipo utakapo ona how it happened kiufupi ni wanacheza tactics zao zinaitwa madrid DNA long balls pass kushtukiza mpelek mpeleke mpaka mwisho
2 Rodri kusema kuwa kiuhalisia akuona timu yeyote pale uwanjani zaidi ya city pekee maana yake waliwatawla mpaka last minute watu wakawa wanasema for the sake of football and saving football city needed to advance into the next stage
3 Bellingham kusema kuwa mostly 99% of people fans odds players believed that Madrid are out.... mtu hawezi kuwa chizi akasema hivo hata wao wanajua hawagusi quality ya city and it was more of a matter of luck and time before suffering a demolition and humiliation
4 dah sababu ni nyingi ila tu sisi kama fans tuna foresee the future hatutaki hizi mambo za kuwa under pressure most of time yani kama timu ina 14 ucls lakini watu wana count on lucky and silverware more than hardwork it has to come to an end sisi tunataka tuendelee kuwa tishioo huko ligi ya mabingwa mpira unapigwa mpaka mtu anatafuta pakujifichia
Naam mkuu points tupuNimesoma michango ya wadau wengi humu juu ya team yetu na namna inavyochelewa kwa ujumla.
Niseme tu hivi, tunacheza vile kutokana na aina ya wachezaji tulionao na experience ya team kwa ujumla, team yetu bado ipo kwenye transition, tuna team ya vijana wadogo wanaokuja, tunaona wanafanya makubwa uwanjani ila bado hawajakomaa kihivyo, kufanya makosa kwao ni jambo la kawaida, sasa kocha usipokuwa makini unaweza kujitukuta unapoteza kazi kijinga.
Ancelotti anachofanya ni kutumia silaha alizonazo vizuri kufanikisha malengo yake, na hapo ninamuelewa vizuri sana.
Anajua ana vijana wazuri kwenye kuzuia ana kiungo mzuri kwenye kufanya transition na ana washambuliaji wazuri na wenye speed, so yeye anatembea na hiyo falsafa yake, maana yake atabadilika kutokana na mpinzani atayekutana nae.
Anajua akicheza na City ama Barcelona hawa silaha yao ni kumiliki mpira mara nyingi, sasa yeye haendi kushindana nao kumiliki mpira, ila anaenda kuangalia namna ya kuwapiga kwenye udhaifu wao., ukisema sie tucheze kama fulani utapotea.
mzee ukiendele kubishana na uyo jamaa hamuwez kufikia muafaka apo unachofanya ni kupoteza mda wako tu wew ungemuacha aendele kuamini anachokiamini yani jamaa amekaa mda wote anasubiri Bellingham akosee tu ili apate pakupigilia msumari.Macho yako hua Kwa Bellingham Tu, Wengine wakicheza Chini ya kiwango husemi, Una matatizo wewe
afu kuna sehemu anakwambia musiala ndio anafaa kuwa mbadala wa Luca modric yani watu wanafatufanya si wengine tunatazama mpira kwa kutumia matumboLete takwimu za Musiala kwenye big games msimu huu
Labda wengine mnaangalia mpira kinyume nyume manafu kuna sehemu anakwambia musiala ndio anafaa kuwa mbadala wa Luca modric yani watu wanafatufanya si wengine tunatazama mpira kwa kutumia matumbo
we acha tu tutafika tumechokaLabda wengine mnaangalia mpira kinyume nyume maa
aliruka akapiga na mkono wa kushoto ile ingekutana na kipa fara fara kama onana tuondoke paleNinaangalia marudio hapa, kuna save Neur alifanya dhidi ya Kroos, daah, sijui ule mpira ulionaje, yaani lile lilikuwa goli kabisa.
Nope sio kama watu hawamtaki carlo lakini mpira wa sasa unaenda unabadilika let say tulitolewa na city kwa penalty then watu lazima waje juu sababu tulikuwa na kiwango kibovu zaidi ya previous H2H with them
carlo tangu atue ni mtu ambae ana implement simplier philosophy yani sio complex minded inapelekea mashabiki wawe wana rely on luck and Madrid composer of winning mentality yani ( sisi hata tukipewa 1% dhidi yao wao wapewe 99 % tutashinda tu)
Huo mpira wa bahati bahati huwa unakuwa na mwisho tunataka tutengeneze au turudishe legacy yani mtu akikutana na Madrid lazima atetemeke kama ilivo kwa city sio mtu anasema tunapita ki bahati bahati a good playstyle which is somehow relevant na ile era yakina cr7 modric casemiro...
so we need someone like xhabi who is undoubtedly is or will be one of the greatest along side top elites kama pep arteta ambao washatengeza high standards... si tumechoka tunacheza mechi tunatetemeka tunakata tunacheza na mtu kama man city yeye mwenye anatupa respect kama anayo wapa Liverpool kuwa ni wagumu na anawaogola kiaina na sio unafki kuwa anacheza na sis huku akiwa aona madrd kwa bahat waliyo nayo ndio kitu pekee watatumia kututoa
Mie pale nilishasimama nikijua kuwa mpira upo kambani.aliruka akapiga na mkono wa kushoto ile ingekutana na kipa fara fara kama onana tuondoke pale
it's 50/50 ni mapema sana ku conclude fate kabla ya, destiny
Destiny ya huyo kijana labda ilikuwa aje awepo hapo kama wengine waliopita hapo acheze kwenye dreamteam yake ili afikie fate yake ya kutwaa mataji makubwa pamoja na kushinda tunzo kubwa kama ya ballon dor
wapo wengi wao waliopita hapo na walitarajiwa makubwa kama kaka ... raul ila mwisho waka flop
pia wapo waliotarajiwa kuja kuwa flop wakajaga kubeba ballon dor hapa namzungumzia modric huu usajili wa huyu wali mpiga kura za worst signing of laliga akawepo ila akaja kuushangaza ulimwengu
so far ndio kwanza first season it's our responsibility sisi kama mashabiki kuwa guard support na kuwa encourage wachezaji wetu kupitia support zozote zile ili wafike pale tunapotaka kuwaona