Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu kipa wetu kama Degea,za mbali mtu akipiga imo ila za papo kwa papo anapangua.
...ni match za mfululizo sasa washamsoma,mtu akiwa nje tu akipata upenyo akipiga imo.
Ile ya Jana Haikua mbali mbona Kama sane alikua kashaingia ndani ya box
 
Ile ya Jana Haikua mbali mbona Kama sanae alikua kashaingia ndani ya b
mipira ya mbali anacheza vizur tu kweny game na City kelvin alipiga mashuti mawili Nje ya Box na zote akacheza tena Bunduki kweli kweli njoo kweny game ya 16 bora second leg na RB Leipzg alicheza mipira mingi sana iliyopigwa nje ya Box mleta comment inaonekana sio mtazamaji wa mechi kabisa katazama mechi moja tu analeta generally concolution
 
Siwezi kumlaumu aina ya magoli Lunin aliyofungwa dhidi ya City na hata lile la jana, goli nitakaloweza kumlaumu ni lile la Benardo Silva, alipanga ukuta wake vibaya, halafu hakuweka umakini., bado hana uzoefu mkubwa kama Courtois ama Neur., maofisa wa Club pia walikuwa hawana imani nae ndio maana akaletwa Kepa, ila aliwa-prove wrong, so kadri anavyopata muda wa kucheza ndio anaendelea kupata uzoefu.
 
Ni sahihi,hii timu babu Carlo ashafikia ukingoni...aje kocha kijana wazungumze lugha moja na aina ya uchezaji ubadilike..afu pia sijui kama umenote,timu ikikosekana mchezaji anayetumia mguu wakushoto inakuwa haina balance.

hivi nyie watu ni waina gani? yani timu ikitoa sare mechi moja mnaanza kulia lia Carlo aondoke, Hivi munakumbuka hii timu ilikuwa katika hali gani kabla ya kuja Carlo? Nashindwa kufahamu munacholalamikia, Pep ana miaka 8 ndani ya city kabeba Champion league moja, Carlo anakwenda kubeba yapili ndani ya miaka miatatu bado munalalmika? Dah binaadamu hawajahi kuridhika.
 

Unapotamani aje musiala maana yake unakubali kuwa JUDE Ni mzigo ambao unashindwa kufanya vizuri kazi yake, Mana musiala moja kwa moja anakuja kucheza nafasi ya Jude, huko pembeni kumejaa mkuu,Kuna Vini, rodrygo, Mbappe.
 
Rodrygo au hata Vasquez anapiga penat v

Zitakuwa za moto kweli kweli, mashabiki wanahitajika kuongoza hili jahazi., yaani jukwaani kuwe kwa moto uwanjani kuwe kwa moto.
Jana mashabiki Allianz Arena walikiwasha kweli kweli
kuna yule dogo wa kike adi alikua anatukana matusi yani binti wa miaki 7 ana mzuka na mpira kama mtu mzima
 
Unapotamani aje musiala maana yake unakubali kuwa JUDE Ni mzigo ambao unashindwa kufanya vizuri kazi yake, Mana musiala moja kwa moja anakuja kucheza nafasi ya Jude, huko pembeni kumejaa mkuu,Kuna Vini, rodrygo, Mbappe.
Na ndio maana nikasema it's highly unlikely ni kitu kilichoshindikana hata kuwazia upewo wahuyo kijana hapo los blanco

labda ingekuwa tulishindwa m'beba jude hapo sawa ila kwa sasa tuwaachie bayern barca man city waongeze squad ushindani mashabiki tupate flavour nzuri ya mpira

sio kila kitu au kila mtu aje Madrid sisi tukomae na tuliokuwa nao na tuzidi ku cover up sehemu mbali mbali kwenye kikosi tukianza na world class ST....CB mmoja...RB na LB na labda CM huko mbeleni tunapoelekea tutawakosa watu kama modric na, kross muda unaenda na nafasi zao zinahitaji watu wa mapema kuja kuwa funza ili waje kuwa elites kama wao

Hala Madrid
 
Nope sio kama watu hawamtaki carlo lakini mpira wa sasa unaenda unabadilika let say tulitolewa na city kwa penalty then watu lazima waje juu sababu tulikuwa na kiwango kibovu zaidi ya previous H2H with them

carlo tangu atue ni mtu ambae ana implement simplier philosophy yani sio complex minded inapelekea mashabiki wawe wana rely on luck and Madrid composer of winning mentality yani ( sisi hata tukipewa 1% dhidi yao wao wapewe 99 % tutashinda tu)

Huo mpira wa bahati bahati huwa unakuwa na mwisho tunataka tutengeneze au turudishe legacy yani mtu akikutana na Madrid lazima atetemeke kama ilivo kwa city sio mtu anasema tunapita ki bahati bahati a good playstyle which is somehow relevant na ile era yakina cr7 modric casemiro...

so we need someone like xhabi who is undoubtedly is or will be one of the greatest along side top elites kama pep arteta ambao washatengeza high standards... si tumechoka tunacheza mechi tunatetemeka tunakata tunacheza na mtu kama man city yeye mwenye anatupa respect kama anayo wapa Liverpool kuwa ni wagumu na anawaogola kiaina na sio unafki kuwa anacheza na sis huku akiwa aona madrd kwa bahat waliyo nayo ndio kitu pekee watatumia kututoa
 

Kwa kweli Real wamefail kwenye usajili ya JUDE, sio quality ya kum replace Luka, Musiala alikuwa ni better option. Jamaa unaotea kabisa kwenye big games. ambazo ndio hua anatakiwa afungulie mashine zake uwanjani.
 

Carlo ana mpira wa bahati? rely on lucky? unaweza kutoa mifano halisi? au reference yako ni game za Man City? sasa ulitaka real aifunge city huku akiwazidi ball position ama? nani amewahi kufanya hivyo katika last 5 years?
 
Wale wadau wa Belingham tunaomba maoni yenu, Au na jana pia ni bahati mbaya game ilimkataa?
 
Kwa kweli Real wamefail kwenye usajili ya JUDE, sio quality ya kum replace Luka, Musiala alikuwa ni better option. Jamaa unaotea kabisa kwenye big games. ambazo ndio hua anatakiwa afungulie mashine zake uwanjani.
it's 50/50 ni mapema sana ku conclude fate kabla ya, destiny

Destiny ya huyo kijana labda ilikuwa aje awepo hapo kama wengine waliopita hapo acheze kwenye dreamteam yake ili afikie fate yake ya kutwaa mataji makubwa pamoja na kushinda tunzo kubwa kama ya ballon dor

wapo wengi wao waliopita hapo na walitarajiwa makubwa kama kaka ... raul ila mwisho waka flop

pia wapo waliotarajiwa kuja kuwa flop wakajaga kubeba ballon dor hapa namzungumzia modric huu usajili wa huyu wali mpiga kura za worst signing of laliga akawepo ila akaja kuushangaza ulimwengu

so far ndio kwanza first season it's our responsibility sisi kama mashabiki kuwa guard support na kuwa encourage wachezaji wetu kupitia support zozote zile ili wafike pale tunapotaka kuwaona
 
Carlo ana mpira wa bahati? rely on lucky? unaweza kutoa mifano halisi? au reference yako ni game za Man City? sasa ulitaka real aifunge city huku akiwazidi ball position ama? nani amewahi kufanya hivyo katika last 5 years?
mpira haujifichi rudia kusoma nilicha type rudi kacheki mechi za Madrid fatilia critics za wachambuzi na hata wachezaji wenyewe juu ya quality ya Madrid pindi wanapo cheza then conclude

1 tuchel kusema kuwa build up ya madrd ya kupata goli huwa linatokaga out of nowhere then ukiangalia goli ukarudi sekunde kadhaa nyuma ndipo utakapo ona how it happened kiufupi ni wanacheza tactics zao zinaitwa madrid DNA long balls pass kushtukiza mpelek mpeleke mpaka mwisho

2 Rodri kusema kuwa kiuhalisia akuona timu yeyote pale uwanjani zaidi ya city pekee maana yake waliwatawla mpaka last minute watu wakawa wanasema for the sake of football and saving football city needed to advance into the next stage

3 Bellingham kusema kuwa mostly 99% of people fans odds players believed that Madrid are out.... mtu hawezi kuwa chizi akasema hivo hata wao wanajua hawagusi quality ya city and it was more of a matter of luck and time before suffering a demolition and humiliation

4 dah sababu ni nyingi ila tu sisi kama fans tuna foresee the future hatutaki hizi mambo za kuwa under pressure most of time yani kama timu ina 14 ucls lakini watu wana count on lucky and silverware more than hardwork it has to come to an end sisi tunataka tuendelee kuwa tishioo huko ligi ya mabingwa mpira unapigwa mpaka mtu anatafuta pakujifichia
 
kuna yule dogo wa kike adi alikua anatukana matusi yani binti wa miaki 7 ana mzuka na mpira kama mtu mzima
Hahaha, halafu kila mara wakawa wanaelekezea Camera kwake., hao ndio hard die fan, yaani humuelezi kitu juu ya mapenzi yake kwa team yake., sio huku kwetu mtu anaenda na upepo tu, team ikishinda ndio anaishabikia.,
 
Carlo ana mpira wa bahati? rely on lucky? unaweza kutoa mifano halisi? au reference yako ni game za Man City? sasa ulitaka real aifunge city huku akiwazidi ball position ama? nani amewahi kufanya hivyo katika last 5 years?
i agree mpira is more than ball possession and its overall a highly good mentality team work health plus TACTICS

TACTICS yeah hapo najua tumecheza sana defensively games in past matches but somehow it is what we are

you can take the ball home and we gonna take 3 points plus a win hii heritage imekaa mioyoni mwa mashabiki and team system for a long time sasa tunaanza kupata viashiria kuwa these era like this are at some point gonna come to an end

Have you ever wondered what it is like for Madrid to play proper if we ever face another humiliation sisi sura zetu tutazificha wapi lets say tulivo humilitiwa vile na city then wawe wameshinda 3-0

yea 3-0 let say in that narrative hatuja improve learn chochote na tutakuja pigwa na huyo huyo uko mbeleni tena maana hawatuogopi zaidi tunavowaogopa wao
 
THOUGHTS

Hivi ikitokea Madrid na Psg wakawepo into finals hapo Wembley

then mbappe akaweza somehow kuwawezesha psg kubeba kombe lao na lake lakwanza akiwa nao psg mbele ya madrd ambao ndio according to informations ndio anatua huko

How will this sound na ni vipi Madrid watawezaje kumpokea huyu bwana mdogo na vipi kinyongo cooperation ndani wachezaji juu ya mtu aliye tunyima kombe ndio kaja kujiunga nasi.., vipi pia fans maana tunajua laliga ndio ligi yenye most provoking fans hawachelwei kumfanya scapegoat na some racist chants
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…