Carlo Ancelotti ameona muda hauendi aende yeye.
Mapema katoa kikosi chake,
kazi Kwao wapinzani kupangua na kupanga upya.
Anyway naona Uwepo wa Tshouamen leo unafanya Kikosi kiwe kimekailika zaidi ya kile kilichocheza pale Etihad.
" Siri ya mafanikio ya Real Madrid ni kua timu ambayo Kila siku inajitahidi kufanya vizuri zaidi kuliko ilivyo fanya jana.
View attachment 2977710