Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

We ambacho hutaki kipi?Kama kigezo ni kuibuka si wangewapa wote walioibuka kwani kaibuka yeye Tu?

Jude Bellingham kaibuka na kafanya vizuri kuliko wote duniani ndomana kapewa tuzo.

Tatizo nikuwa maelezo yako yamepotosha maana, halafu bado unatumia nguvu nyingi kujitetea, Kuna tofauti kubwa kati ta kuibuka na kuwa Bora.
 
Tatizo nikuwa maelezo yako yamepotosha maana, halafu bado unatumia nguvu nyingi kujitetea, Kuna tofauti kubwa kati ta kuibuka na kuwa Bora.
Maelekezo yangu sio tatizo, Dish lako ndio tatizo halipokei mawimbi vizuri Kwa sababu limeyumba,

Kwani mwanamichezo Alieibuka ni yeye au kashindanishwa?

Na Kama kashindanishwa wameangalia kigezo kipi mpaka kumpa tuzo Jude Kama sio ubora?

Nimegundua unakaza Sana fuvu mkuu achana na hizo mambo za kubishana kitu unajua harafu unajichetua.

Au ndio kutufanya watoto sie?
 

kwanini unakimbia hoja? umesema uwongo hadharani halafu unatumia nguvu nyingi kujitetea
 
Ishii we jamaa huenda Una stress, hoja yako iko wapi na nachokimbia kikowapi.

Taarifa uliyoleta ulipotosha either kwa makusudi au bila ya kukusudia kwa maelezo yako ikiwa ni katika njia ya kupamba, baada ya kukosolewa umekuwa ukitumia nguvu nyingi kutetea hoja badala kukubali ukweli ulio wazi.
 
hakuna haja ya kurejea yaliyokwisha ata, ukikagua tu mwenyew post zako utajionea.
Kungekua hakuna haja ungekaa kimya toka juzi au tungekua kwenye mada ingingine,

Ila kwakua haja ipo ndomana umekomaa,

Sasa lazima twende sawa, mi nimekagua post zangu hakuna nilipokosea wala kurekebisha ni vile vile Tu,

Sasa Chagua moja Lete post niliyopotosha au utuambie kwann unachukia Jude.
 
Haya yapeleke haya maneno kwenye Kilugha chenu Yana maana gani?

Mkuu vipi umeshalewa? Mimi nimeeleza kuwa Djokovic ameshinda mwanamichezo bora wa mwaka, Na sio Jude kama ulivyojaribu kueleza wewe, Na ameshindana na Halland. Sasa tutafsiri nini hapo chengine? Na huo ndio uthibitisho wa hiyo tunzo. Tunzo ya Jude ilikuwa ni kwa tafsiri nyepesi ni ya mastaa wanaochupikia na sio ya mchezaji bora. Sasa hapo bado unaendelea kukomaa?
 
Mimi niliandika Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,

Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024.

Najua wewe iliyokutatiza ni hiyo Mistafi mi3 ya mwisho,

Na ilikutatiza Kwa sababu hukutaka kuelewa unapenda kubishana,

Labda ningesema
Kwamba "Tuzo aliyochukua Jude Bellingham ni ya mwanamichezo Bora anaekuja"

Umesahau sentence ya mwanzo nilisema, Jude kashinda Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,

Labda niambie
Laureus World Breakthrough of the Year, 2024," inamaana gani?
 
Kuja juu maana yake nini?
 
Acha tuone kama wana maajabu, maana sio kwa hizo kelele kwenye mitandao juu ya rotation., nilitamani tumalize hii ishu ya La liga mapema, ila nikifikiria Jumanne tuna Bayern basi ninakubaliana tu na Mwalimu wetu.
Hiki kikosi chetu cha leo dhidi ya Sociedad😂😂😂dah...naona rotation ya nguvu imefanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…