IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,747
- 7,110
Silaha ulizomgonga nazo sio poa. Anataka kutufanya mateka kama Hamis77 anavyowanya kule jukwaani kwenu, kondooz.Wewe jamaa hii timu watu wanaifatilia kuliko unavyofikiri. Hapa nakuletea comments za wadau kuhusu Valverde before Ancelloti hajaja tena Madrid [2021]
Mwaka 2018 Cesar Caspar anaandika ''Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu...''
Rapherl 2019: Fede Valverde has impressed Zinedine Zidane, and is set to be given a number of opportunities in the games that remain, with a view to him becoming an important player next season. Zinedine Zidane is a fan of the midfielder's strength, dynamism and versatility. [MARCA]
Cesar Caspar 2019: ''Kila mmoja alicheza vyema ila Valverde alicheza vizur zaidi, Dogo ana uwezo mkubwa sana wa kufanya marking na kupress, uwepo wake uwanjani unampunguzia Casemiro majukumu na kuwapa Kroos/Modric muda wa tune mchezo wa team...''
PAGAN 2019: ''Kitu kingine, ya nini umsaini Pogba wakati kuna Fede Valverde? Dogo ana vitu vyote anakaba with unexpected tackles, air duals, akishambulia ana pace, speed na mpira unanata mguuni.''
Hizo ni chache tuu. Ila utaona Valverde amekuwa consistent since ametoka Castilla mwaka 2017. Comment yako imekaa kiduanzi kiduanzi, kama inaonyesha ulikuwa na shida zamani na Valverde kama ulivyo na shida na Jude sasa hivi.
Sisi muda wowote mkiwa tayari kwa marudiano tupeni taarifa. Msimu huu tumekutana mara tatu na zote tumewagonga vizuri kabisa.Laporte kashasema game inarudiwa nyie kenge mlimnunua mwamuzi
Basi tufanye mechi ni draw itawasaidia niniLaporte kashasema game inarudiwa nyie kenge mlimnunua mwamuzi
Ajiandae kisaikolojia kabisa. Maana next season Trent anakuwa WhiteKuna mchezaji aliwahi kutoka Madrid kwenda Liverpool?
Ikirudiwa round Hii mnakula 3-0,Laporte kashasema game inarudiwa nyie kenge mlimnunua mwamuzi
Na ni Kama la Ronaldo ikiwepo na Goal line technology, Ila likakataliwa,Goli walilofunga Barca ni kama lile ambalo miaka flan nyuma alifunga Gareth likakataliwa.
Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,
Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024.
Agadias
.View attachment 2971410
Kwahyo ulitaka iitwe balon d or sio?Halafu tukianza kusema sisi tunakua ndio wabaya, Hiyo tunzo wapi imekua ya mchezaji bora wa Dunia?
Kwahyo ulitaka iitwe balon d or sio?
Jina la tuzo lishaeleza maana ya hiyo award. Sema kwa kuwa mwanetu ushazoea ligi, hukosi cha kuongea. Kama anavyosema Flano yupo likizo, so ana muda mwingi wa kuandika kule jukwaa la Arsenal, basi na sisi/mimi pia. Tutakuwa tunakujibu humu kuonyesha uduanzi wako.hapana, ila tunataka maelezo yanayoashiria kuwa hiyo tunzo ni ya mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio. mana mimi naona wewe ndio umejiengeza na hayo maneno
Huu ubishi wako itabidi uwe unalipia sasa tunachoka kukuelimisha.hapana, ila tunataka maelezo yanayoashiria kuwa hiyo tunzo ni ya mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio. mana mimi naona wewe ndio umejiengeza na hayo maneno
Poleni sana Wakuu., mna kazi kubwa ya kuelemisha na kufundisha, sio kazi ndogo,Jina la tuzo lishaeleza maana ya hiyo award. Sema kwa kuwa mwanetu ushazoea ligi, hukosi cha kuongea. Kama anavyosema Flano yupo likizo, so ana muda mwingi wa kuandika kule jukwaa la Arsenal, basi na sisi/mimi pia. Tutakuwa tunakujibu humu kuonyesha uduanzi wako.
Mshkaji kaandika "Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,
Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024"
Wazungu wenyewe wanasema hivi kusuhu Laureus world breakthrough award "Awarded to the sportsperson or team whose performance as a newcomer suggests the greatest potential for an outstanding career or to an established sportsman or sportswoman who produces a significant step-up in class to a considerably higher level of sporting achievement"
Hapo utaona kauli ya mshkaji inaingia kabisa ndani ya definition ya hiyo tuzo. Mchezaji bora wa dunia (coz sio kigezo uwe unacheza ulaya) mwenye mafanikio 2024(mafanikio hapa inaweza kuwa kushinda tuzo yenyewe, lakini pia inaweza kuwa ile performance wise yake kwa mwaka 23/24)
Hatari aisee jamaa anataka tuwe bize na yeye tuPoleni sana Wakuu., mna kazi kubwa ya kuelemisha na kufundisha, sio kazi ndogo,
Mshkaji kaandika "Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024,
Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024"
Wazungu wenyewe wanasema hivi kusuhu Laureus world breakthrough award "Awarded to the sportsperson or team whose performance as a newcomer suggests the greatest potential for an outstanding career or to an established sportsman or sportswoman who produces a significant step-up in class to a considerably higher level of sporting achievement"
Maana ya breakthrough Player ni mchezaji aliebuka au aliekuja juu na sio mchezaji bora. Na hiyo tunzo sio ya football ni tunzo ya Sports kiujumla, Na tunzo ya mwanamichezo bora ilichukuliwa na mcheza tenis Djokovic, Huku Halland akiwa ndio mshindani wake.
Tuache kunywish
We ambacho hutaki kipi?Kama kigezo ni kuibuka si wangewapa wote walioibuka kwani kaibuka yeye Tu?Maana ya breakthrough Player ni mchezaji aliebuka au aliekuja juu na sio mchezaji bora. Na hiyo tunzo sio ya football ni tunzo ya Sports kiujumla, Na tunzo ya mwanamichezo bora ilichukuliwa na mcheza tenis Djokovic, Huku Halland akiwa ndio mshindani wake.
Tuache kunywishana chai jamani.
Laureus 2024 Nominations | Laureus