Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,558
- 2,603
City nao wakaingia mkenge Kwa GreniwishDebe la wachezaji wakiingereza ni kubwa sana, ni rahisi mno kuingia mkenge ukiwa hopa makini, Man Utd nao wlilipa 80m Pound kwa Sancho
Hata usiwe na shaka man, game iliyopita alicheza kama beki wa kati., shida ni kwamba ni nani ataanza pamoja na Rudiger? Hapo ndipo kwenye changamoto., ila kati Camavinga, Kroos na Valverde watahusika kwa mara nyingineKukosekana kwa Tchou kesho inanipa wasiwasi aiseee kudadeq..pale kati sasa si mvujo.
Hata usiwe na shaka man, game iliyopita alicheza kama beki wa kati., shida ni kwamba ni nani ataanza pamoja na Rudiger? Hapo ndipo kwenye changamoto., ila kati Camavinga, Kroos na Valverde watahusika kwa mara nyingine
Kukosekana kwa Tchou kesho inanipa wasiwasi aiseee kudadeq..pale kati sasa si mvujo.
Yule jamaa hata hukuwa anajali kuwa Barca wapo nyumbani wala nini., ule Ubabe ni noma.Ndugu zetu Atlético Madrid na watani zetu Barca Hawajatolewa wamefukuzwa daah.
Ila Yule Rafa wa pale camp nou kanikosha sana, kasawazisha Yale makosa alifanyaga mwenzie 2017
Carlo leo asilete ule woga wake wa kukaa Nyuma mda wote kipara anaweza akatufyeka kichwa vibaya sana ila yote kwa yote inabidi tushinde mechiYule jamaa hata hukuwa anajali kuwa Barca wapo nyumbani wala nini., ule Ubabe ni noma.
Leo ni zamu yetu., ni matumaini yangu vijana wameamka vizuri leo.
Kiukweli tufunguke Tu leoCarlo leo asilete ule woga wake wa kukaa Nyuma mda wote kipara anaweza akatufyeka kichwa vibaya sana ila yote kwa yote inabidi tushinde mechi
Baada ya kudondoshwa na Xavi sasa furaha yenu kaibeba kipara.Spain wote leo bye bye.
Hakuna namna Kipara ataacha kuwanyoa na kipande cha chupa.
Mimi sio mshabiki wa timu kutoka Spain, ninashabikia timu za England pekee.Baada ya kudondoshwa na Xavi sasa furaha yenu kaibeba kipara.
Na Ndio main soloution tupishane tuKiukweli tufunguke Tu leo
Ndugu zetu Atlético Madrid na watani zetu Barca Hawajatolewa wamefukuzwa daah.
Ila Yule Rafa wa pale camp nou kanikosha sana, kasawazisha Yale makosa alifanyaga mwenzie 2017
wasingeweza kumtoa dortmund dalili zilionesha toka mechi ya first leg mechi ya first leg Dortmund kipind cha pili alishambulia sana had kuna mda Cholo akawa anapiga viti ovyoDah Atletico wamesikitisha sana, Nilitamani wasonge mbele
HalaMadridCarlo leo asilete ule woga wake wa kukaa Nyuma mda wote kipara anaweza akatufyeka kichwa vibaya sana ila yote kwa yote inabidi tushinde mechi
VamooosHalaMadrid
Tchouameni ana two yellow card nin